Msikilize Harmonize akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC, anena mazito

Dogo anaulizwa maswali kiswahili halafu anajikuta anajua kuchanganya kiingereza kwenye kujibu. Zero kabisa.
 
Kuna wimbo remix ameuimba pale bbc leo mabata wadogo wanaogelea kwa kwa kwa kwa..umebamba hatariii.
 
Reactions: BAK
Huyu kumbe bado mshambaa...
Mpuuzi kabisa.

Hata Wema siku hizi haongei hivyo...
 
Reactions: BAK
Dogo anaulizwa maswali kiswahili halafu anajikuta anajua kuchanganya kiingereza kwenye kujibu. Zero kabisa.
Mtajuaje kama ni Mmakonde na yupo Ulaya
 
Maelezo gani yana
yo kufanya uone kashindwa kuondoka? Ameulizwa kuhusu kuondoka na amesema hilo kwa sasa hawezi kuliongelea, ana sababu zake. Kikubwa ni kuwa ameanya show peke yake bila WCB na amejaza ukumbi vibaya mno, hili ndilo la maana kwake na wanao mpa support, hayo mengine ni UCHAWI tu, na hata dondoka ng'o kwanza AHATEGEMI KUMUEGEMEA MTU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…