Hata mimi nina ticket tayari lakini hainiumizi kichwa zaidi nasikitika tu na kifo cha huyu msanii,hongera Komandoo kwa kuahirisha show na nipo pamoja nawe katika hili.Nilisoma sehemu kua ticket za shoo ya Lady Jaydee zimeisha! vipi kwa hao waliokata ticket je kuna matarajio ya kurudishiwa hela zao au?
Mkuu hujajua tu kuwa watanzania wengi wanaoishi Dar huwa hawafikiri kuwa Tanzania ni zaidi ya Dar?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Anashindwa kueleza analia, anaendelea kulia
Hawa wasanii wasaidiane kuleana kimaadili ili waishi muda mrefu na watoto wa watoto wao waje kushuhudia mafanikio yao! Mambo ya kulia tu baada ya watu wao wa karibu ambao walijua maisha yao ni hatarishi na hawakuwasaidia wanapoaga dunia itaendelea kutokeo kama hawatajirekebisha! Life style za wasanii wazichunguze na wajirekebishe ni hatarishi kwa maisha hako!
hata bila ubest ni msanii mwenzake khu majitu mengine yakoje humun jamani ushabiki gani huuWe matola n msengeeee wa ru gay nn? Jide na ngwear n best sana, na wamepiga song km mbili ambazo n Kali, dats y ameguswa na kifo chakeeeee. So acha propaganda ---- ww
clouds nao wameahirisha lile tamasha lao?
Mhhhhh.Itakuwa kama vipofu kuongozana, asilimia kubwa ya wasanii maarufu wa kizazi kipya ni mateja, sasa nani atamlea mwenzake? JD mwenyewe mtumiaji mzuri wa hizo drugs.
Wazee Tanzania ni zaidi ya Dar, hizo Radio Station na TV Stations nyingi huku kwetu hazipo, tunaitegemea JF sasa usije na wito njoo na habari utusaidie na sisi.
Rest In Peace CowBoy Ngwear. Anaconda ulofanya la msingi sana
Nilisoma sehemu kua ticket za shoo ya Lady Jaydee zimeisha! vipi kwa hao waliokata ticket je kuna matarajio ya kurudishiwa hela zao au?