Msikilize Lady Jaydee Ea radio akitoa msimamo juu ya kifo cha ngwair

MIpango si matumizi, binadam anapanga na Mungu nae anapanga! Waliokata tiketi kwenye shoo ya Jide huo nao ni mchango (rambirambi) itakayotumika katika maandalizi ya mazishi ya Mangwair. I mean wasamehe hiyo fedha.
 
Ndo Jide kasema au ww ndo unayesema!!
 
Back
Top Bottom