Msikilize MNYISANZU...

Msikilize MNYISANZU...

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,106
Wasalaam. Nawakaribisha sana kwenye birthday yangu leo saa 2 usiku kwenye ukumbi wa Vatican- Sinza. Kuna vyakula vya kutosha kama kitimoto pamoja na vinywaji kama bia, gongo, viroba, nk. Mademu wapo wa kila aina wenye makalio makubwa, wembamba, wafupi, etc. Karibuuuuni saaaaaana.
 
Back
Top Bottom