Msikilize mtu amalize hoja zake kabla ya kumjibu

Jazia jazia nyama mkuu!
 
uko sahihi kabisa... mimi hua nina hiyo kawaida, mtu akija kunieleza kitu hua ninasubiri amalize kabisa hatakama tayari nimeshajua anaelekea wapi na nimeshajua jibu /ushauri wa kumpa ila nasubiri kabisa amalize ndio namimi nimjibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…