Msikilize mwananchi aliyekutana na kuongea live na Yesu

Msikilize mwananchi aliyekutana na kuongea live na Yesu

Amesema sura ni ile .Anayomwona kila siku ni ya Brian mwigizaji ambayo wengi tuliamini kuya ni Yesu. Tukitaka kuongea na Yesu ni kulishika neno lake na kulitenda kwa sababu Yesu ni Neno.Atakaporudi kila jicho litamwona
Huyo mzee unawezekana yupo sahihi ila watangazaji waliomhoji ndio vilaza. Walipaswa wamchimbr zaidi.
 
Kufuru ilianzia baada ya "Mungu" kuacha enzi yake akaingia tumboni mwa mwanamke akazaliwa mtoto asiyejielewa, akalia, akatahiriwa akaogeshwa na kuchambwa, akachokoza warumi, wakamuwamba kwenye mti kwa kilio kikubwa na kufa!

Kama hayo hapo juu yaliwezekana kwa Mungu, basi hakuna usishangae ukimkuta uwanja wa fisi!
Sasa hapo kinachoshindikana ni nini Mungu kuchukua umbo la mwanadamu na kutaluwa kama mwanadamu?

Mbona allah amemuumba mwanadamu kwa tone la manii pasipo kujaminiana na mwanamke?

Sasa kama allah amemuumba mwanadamu kwa tone la manii ambayo sijui aliitoaje mwilini pake itashindikana hilo?

Vipi pia kuhusu mtume wa allah kumpasua mwezi vipande viwili nako mkuu?
 
Hapo sijui😀. Ngoja atokee wa kutupa muongozo.
Ila sijawahi kusikia alie wahi kutokewa na Mtume, wakristu wamezidi sana uongo uongo.
Uwepo wa mtume ni suala la nadharia. There is no practicality in the term "prophet'' just like the current looming list of false prophets in the country.
 
Kwamba yesu ana sura ya Abraham Decon aliyeingiza movie ya maisha ya yesu
Samahan lkn hapa pana tatizo la akili mahali au huyu jamaa aliota akasahau kutofautisha ndoto zinazokuja na mawazo yake na maono yanayoletwa na mungu
 
Jamaa yupo sahihi sana hana tofauti yoyote na wanao amani Mungu yupo tena yeye kafika mbali zaidi kaona hadi sura.
Huo wote ni utapeli na pia biashara za watu ili wapige pesa mkuu. That is business as usual.
 
Upumbavu wa mwafrika, tuliletewa dini wajanja wakachukua madini na kila kitu wakajenga makwao, mpaka leo wanaendelea mbele na AI na mazagazaga kibao .watu weusi wamekazana na Yesu.Ndio maana tukaitwa bara la giza. Hatujitambui ni kama wanyama vile, halafu tukiambiwa sisi manyani tunakasirika.
 
Back
Top Bottom