Msikilize Mzee wa Upupu

Ungemsikiliza vizuri Mecky Mexime baada ya kufungwa na KMC 3 - 0, ndiyo ungenielewa vizuri.

Alikiri sababu mojawapo ya kufungwa ilikuwa ni wachezaji wake kutumia nguvu kubwa walipo cheza na Yanga na ambapo walifanikiwa kupata sare.
So madhara yake nini

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
,Hili suala la kukamia linanichanganya labda unaweza kunielewesha ndugu.
Issue wachezaji wa timu ndogo wakicheza na timu kubwa kiutamaduni huwa lazima iwe hivyo ili kuiuza timu yao kwani ndio mechi za mapato makubwa na ambalo ni kubwa ni kijitangaza wao wenyewe au kujiweka sokoni

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Utaratibu rasmi wa team ndogo ktk ligi kuonesha mafanikio ni upi? Kinyume cha kukamia ni nini?
 
Dah!! Bora hata umenisaidia kuwaelewesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…