liwaya
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 2,384
- 1,648
So madhara yake niniUngemsikiliza vizuri Mecky Mexime baada ya kufungwa na KMC 3 - 0, ndiyo ungenielewa vizuri.
Alikiri sababu mojawapo ya kufungwa ilikuwa ni wachezaji wake kutumia nguvu kubwa walipo cheza na Yanga na ambapo walifanikiwa kupata sare.
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app