Ajali ilimtoa meno, hujafa ujaumbikaDah inasikitisha sana nilikua na admire sana ule mwanya
Crazy GK mwenyewe inasemekana naye anahitaji msaada mkubwa tu.Mtag crazy GK,MwanaFA,AY wampe tafu huyu sister, sister.
WamemtelekezaKina FA , AY wako wapi wampe hata company
Hamna mtangazaji hapoMtangazaji anashindwa kusema Crazy?!
Si vizuri nadhani yeye ni mmoja ya watu waliochangia mafanikio yaoWamtekeleza
Maneno yanaumbaAnaishi maisha aliyoyaimba wimbo wa sister sister
Anaishi maisha aliyoyaimba wimbo wa sister sister
[emoji443][emoji445]maisha umeyachezea sasa Mpenzi unalia, Sister sister[emoji445]Maji yakishamwagika hayazoleki