Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Sasa mbona anachoma mihogo kama kwao wako poa, pengine kafukuzwa nyumbani kwao maana anakaribia miaka 40 bado anaishi home hana hili wala lile.Last time alikua anasoma pale Mzumbe Dsm MBA, nadhani ni marketing,miaka ya 2016 huko!
Huyu jamaa kafulia?? Kwao si wapo njema hawa,wazee wa Upanga! Mother wake alishawahi kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia Chadema! Madam Kaihula!