mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Unataka nikusimulie au??Umeangalia video lakini?
Yeye anakataa hajatumia dawa,ila wengine hii ni taaluma yetu.haihitaji muda kujua dada alibugia sembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka nikusimulie au??Umeangalia video lakini?
Anachoma mihogo pale Coco BeachIt great she is still strong emotionally. Ninajiulizaga Crazy GK yu wapi siku hizi.?
Mkuu una undugu na kibaka Ridhiwani?Kwasisi ambao tuna uzoefu na powder tunajua kabisa kuwa huyu dada alitumia madawa Kwa kipindi kirefu hata akiongea unajua Tu kupitia Kwenye maisha ya kuvuta unga
Wabinafsi hao,wamejikausha kama hawamfamu vile,Kina FA, AY wako wapi wampe hata company
Kweli kabisa usemacho mkuu.Wabinafsi hao,wamejikausha kama hawamfamu vile,
Bongo ukiwa na matatizo ni yako hayo,ila ukiwa na mkwanja watakuja wengi tu
Taga unavituko. Ebu agizia chochote hapo kwa Mangi ntapitia na renjii yangu kulipia.Ila beuty span ya mwanamke ni kipindi kifupi mno.
14-25 baada ya hapo sasa inategemea ni kabila gani na anakula nini[emoji16][emoji16].
Pauline ashajichanganya na madawa kawa bibi.
Nilisikia Yuko njema....na anasoma chuo cha diplomasia KurasiniAnachoma mihogo pale Coco Beach
Hii ngoma alijitabiria inabidi akatubu[emoji443][emoji445]maisha umeyachezea sasa Mpenzi unalia, Sister sister[emoji445]
Ilikuwa bonge ya ngoma hii
Ana shida ya matumizi ya "r" na "l"🤣🤣🤣Mtangazaji anashindwa kusema Crazy?!
Wabinafsi hao,wamejikausha kama hawamfamu vile,
Bongo ukiwa na matatizo ni yako hayo,ila ukiwa na mkwanja watakuja wengi tu
Na mihogo anachoma saa ngapi pale Coco Beach?Nilisikia Yuko njema....na anasoma chuo cha diplomasia Kurasini
Tupia lyricsAnaishi maisha aliyoyaimba wimbo wa sister sister
Huko coco , upanga na mikocheni nyingi zilikua nyumba za line za wafanyakazi serikali, viongozi hao walijiuzia nyumba. Wazee wengi washastaaf wameacha matoto mafala yanatangatanga. Wachache waliolea watoto wao vizuri ndio wametusua maisha.Last time alikua anasoma pale Mzumbe Dsm MBA, nadhani ni marketing,miaka ya 2016 huko!
Huyu jamaa kafulia?? Kwao si wapo njema hawa,wazee wa Upanga! Mother wake alishawahi kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia Chadema! Madam Kaihula!