Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana

Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana

Kweli hujafa hujaumbika, Maisha yanaenda kasi sana.

Kumbe masikini alipata Ajali ya Gari, iliyomgharimu Meno na Miguu yake.

Inasikitisha sana
 
Last time alikua anasoma pale Mzumbe Dsm MBA, nadhani ni marketing,miaka ya 2016 huko!

Huyu jamaa kafulia?? Kwao si wapo njema hawa,wazee wa Upanga! Mother wake alishawahi kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia Chadema! Madam Kaihula!
Huko coco , upanga na mikocheni nyingi zilikua nyumba za line za wafanyakazi serikali, viongozi hao walijiuzia nyumba. Wazee wengi washastaaf wameacha matoto mafala yanatangatanga. Wachache waliolea watoto wao vizuri ndio wametusua maisha.
 
Back
Top Bottom