Msikilize Rais Joe Biden kuhusu mpango wa Israel 1986

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Your browser is not able to display this video.


Wengi tunatazama mgogoro wa Palestine na Israel katika sura ya kidini,ila ukweli ni kua kinavhogombaniwa hapo ni ardhi na pia maslahi ya nchi kama Marekani na wabia wake kwenye kulinda maslahi yao mashariki ya Kati.

Ukienda kidini, wakrsito wengi wanasapoti Israel wakifikiri ndio mzizi na chimbuko la ukrsito, sijui huwa wanasahau kua kuna tofauti kubwa sana kati ya uyahudi na ukrsito na sijui kama wanakumbuka ni watu gani walimuwamba Yesu msalabani.

Labda wapo watakaosema Yesu aliwambwa msalabani na waislamu!!

Msikilize Joe Biden enzi hizo na sasa akiwa rais ameshapeleka meli za kivita 3 na zinatoa msaada kwa Israel.

Your browser is not able to display this video.


Tumetegee sikio na Idd Amin Dada ambae alikua swahiba mkubwa na Taifa la Israel baadae wakaja kugeukana!!
Your browser is not able to display this video.
 
musilam au mwarab huwa hawapend suluhu ya amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…