Msikilizeni huyu mzee wa CUF naye kavurugwa, hata hajui anasema nini

Msikilizeni huyu mzee wa CUF naye kavurugwa, hata hajui anasema nini

Hakika nchi hii uhuru umepitiliza sana.
msikilizeni huyu naye.
View attachment 3636893
Gentleman,
kwanza acha upotoshaji,
lakini pia, CUF haina mzee kama huyo, wala anae fanana na huyo.

huyo ni muasiasi na mlezi wa chama cha siasa kiitwacho ADC, akieleza na kutoa maoni yake huru dhidi ya wahalifu wanaostahili kufikishwa kwenye mahakama ya ICC.

nadahani hakuna haja ya kupanic wala kuweweseka ikiwa hauhusiki na ghasia za kupelekea kufikishwa mbele ya ICC, ispokua kama wewe ndie na dhihaka zako ni kama defensing mechanism na technic ya kuataract public sympathy.

But kiuhalisia,
maoni ya mzee Hamad Rashid Mohamed yana mantiki huru na ni sahihi kwa 100% :1Head:
 
kwani hakuwahi kuwa kiongozi wa CUF kipindi cha Seif Sharif?
Utambulisho ni currently alipo, sio zamani alikuwa wapi!. Huwezi kutoa heading ya OMO ukamtambulisha Mzee wa CCM, au Katambi wa Chadema, au Mzee Stephen Wasira wa NCCR Mageuzi au Zitto au Prof. Kitila wa Chadema!. Utambulisho ni mtu alipo sasa!.
P
 
umesahau kujitolea mfano kuwa Mayalla wa CDM zamani
 
Back
Top Bottom