Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
- Thread starter
- #21
Nisilonge kumalaNimejiunga CCM mwaka 1987 fresh from A level, toka hapo sijawahi kuhama au hata kuwaza kujiunga chama kingine chochote cha siasa, ila mimi ni CCM contemporary, tunataka CCM ishinde kwa haki na sio kwa figisu na bao la mkono.
Wana CCM contemporary wanapenda kuona ikilea upinzani imara, https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...bika-kusaidia-kuujenga-upinzani-imara-4942288
P