Msikilizeni huyu mzee wa CUF naye kavurugwa, hata hajui anasema nini

Najaribu sana kukuelewa kaka, napenda nikujue, tena nikujue vyema zaidi. Hivi ni Tanzania ya aina gani uitamaniyo? Je CCM bado ni chama cha wakulima na wafanyakazi? Je bado mnabeba maono ya Mwalimu, ya Tanzania yenye kujitegemea?
 
mwenye baba yake amzimiee kamera
anaongea pumba
af nahis kaishia la nne
 
Watu wa Zanzibari wanamtetea samia bila kuangalia madudu kafanya, sasa waliosema NRNE wamesababisha vip mauaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…