Wakazi wa Faza, Lamu East bado wako kwa shock baada ya msiba wa kutisha kutokea ndani ya msikiti mchana kweupe. Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 33, anayejulikana kama Khalid Maka, aliuawa kwa kuchomwa kisu akiwa ndani ya Faza Jamia Mosque wakati wa swala.
According to taarifa za polisi, drama ilianza baada ya mabishano yanayodaiwa kuhusiana na uongozi wa msikiti huo. Inasemekana mmoja wa washukiwa alimshika marehemu kutoka nyuma huku mwingine akitoa kisu kilichokuwa kimefichwa ndani ya kanzu na kumdunga kwenye shingo na mkono. Worshippers walibaki wakikimbia kwa panic huku damu ikitapakaa ndani ya msikiti.
Khalid alikimbizwa hospitali ya Faza lakini sadly doctors walimtangaza dead on arrival. Serikali sasa imefunga msikiti huo indefinitely huku investigations ikiendelea. Polisi wamekamata washukiwa wawili baada ya mmoja kupatikana akijificha chooni allegedly trying to flush the murder weapon.
Residents wanauliza maswali mazito: “How safe are places of worship siku hizi?” “Vita za leadership zinafaa kufika kiwango cha kumwaga damu?”
Incident hii imekuja siku chache tu baada ya vijana wenye silaha kuvamia kijiji cha Shanga-Ishakani usiku na kujeruhi watu kadhaa, including another Islamic cleric. Hii inaongeza fear kwa wananchi wa kawaida ambao wanahisi insecurity inaendelea kupanda Lamu.
Source: eastleighvoice .co.ke