Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Baada ya kuharibiwa kwa Yerusalemu 70AD, mlima sayuni (mount Zion) haukuweza kufahamika tena ulipo. Ndio maana mwanahistoria Josephus hajaeleweka kuhusu location ya hekalu kwasababu maelezo yake yanapingana na kinachoitwa mlima sayuni leo hii.
Hekalu la mfalme Suleiman lazima lijengwe tena kabla Yesu hajarudi maana litakuwa mahali mahsusi pa ibada ya wayahudi kulingana na unabii wa Danieli na Yohana. Miaka saba kwa ajili ya taifa la Israeli kumkubali Yesu Kristo itakuwa katika kipindi hicho mara baada ya unyakuo wa kanisa.
Sasa kwa mujibu wa unabii hapa chini ni dhahiri kwamba ule msikiti hautabomolewa.
Ufunuo 11:1-2
1 Nikapewa mwanzi kama fimbo; na mmoja akaniambia, Inuka, ukalipime hekalu la Mungu, na madhabahu, na hao wanaosujudu humo.
2 Na behewa lililo nje ya hekalu uliache nje wala usilipime, kwa maana Mataifa wamepewa hiyo, nao wataukanyaga mji mtakatifu miezi arobaini na miwili