Msikiti wa al-Aqsa hautabomolewa maana haukujengwa sehemu lilipokuwa hekalu la mfalme Suleiman bali upo pembeni

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Baada ya kuharibiwa kwa Yerusalemu 70AD, mlima sayuni (mount Zion) haukuweza kufahamika tena ulipo. Ndio maana mwanahistoria Josephus hajaeleweka kuhusu location ya hekalu kwasababu maelezo yake yanapingana na kinachoitwa mlima sayuni leo hii.

Hekalu la mfalme Suleiman lazima lijengwe tena kabla Yesu hajarudi maana litakuwa mahali mahsusi pa ibada ya wayahudi kulingana na unabii wa Danieli na Yohana. Miaka saba kwa ajili ya taifa la Israeli kumkubali Yesu Kristo itakuwa katika kipindi hicho mara baada ya unyakuo wa kanisa.

Sasa kwa mujibu wa unabii hapa chini ni dhahiri kwamba ule msikiti hautabomolewa.

Ufunuo 11:1-2

1 Nikapewa mwanzi kama fimbo; na mmoja akaniambia, Inuka, ukalipime hekalu la Mungu, na madhabahu, na hao wanaosujudu humo.

2 Na behewa lililo nje ya hekalu uliache nje wala usilipime, kwa maana Mataifa wamepewa hiyo, nao wataukanyaga mji mtakatifu miezi arobaini na miwili
 
Msikiti lazima uondolewe mkuuu.

Maana Hilo ndio chukizo la Uharibufuli lililonenwa kwenye Biblia unabii Lazima utimie.

Achana na kusoma kitabu kilichoshushwa na Shetani kwa msaada wa Majini na Mapepo.

Soma Biblia Takatifu Kila siku.
 
Mkuu mimi ni mkristo, nimezaliwa mara ya pili katika Kristo Yesu. Hapa nimeandika jambo sahihi.

Maelezo ya Flavius Josephus yanaonekana tofauti kwasababu yeye aliandika uhalisia wa kitu alichokiona.

Temple mount ya leo iko na mabadiliko kidogo na ninaamini ipo siku sehemu sahihi Mungu ataruhusu ijulikane muda utakapofika.

Kuna uwezekano kiti cha rehema au sanduku la agano au wale makerubi watapatikana katika sehemu sahihi na hapo hekalu la mfalme Suleiman litajengwa.

Yesu Kristo anakaribia kurudi, tuwe tayari.
 
Yesu atakuja kwaajili ya Wayahudi, sisi Wanyakyusa hayatuhusu.
 
Sijajua kwanini unasema kuwa msikiti hautabomolewa wakati ndo mzozo uliopo.
..........
soma pia haya kwa msaada wa BBC

Mwaka 1967, Jordan na Israel zilikubaliana kwamba Waislamu watadhibiti eneo la ndani la ndani msikiti huo na ukarabati wake , huku Israel ikidhibiti usalama wa nje wa al-Aqsa.

Wasio Waislamu huruhusiwa kutembelea eneo hilo kwa saa kadhaa lakini hawaruhusiwi kufanya ibada ndani yake.

Lakini mashirika yanayopigania eneo hilo kuwa hekalu la Wayahudi , kama vile hekalu la Mount faithful na lile la hekalu la Institute, wamekuwa wakishinikiza serikali ya Israel kuwaruhusu Wayahudi kuingia katika jumba hilo na wanataka hekalu la tatu kujengwa katika eneo hilo.

Mwaka 2000, waziri mkuu Ariel Sharon aliingia katika eneo la msikiti huo na maafisa 1000 wa polisi.

Kuingia kwa Sharon kulisababisha vifo vya zaidi ya Wapalestina 3000 na Waisraeli 1000.
Watu wakiingia katika msikiti wa Al-Aqsa

...
Israel imeweka vikwazo kadhaa karibu la lango la msikiti wa al-Aqsa , ikiwemo ukuta uliowekwa mwaka 2000, unaowazuia Wapalestina kutoka West bank kuingia.

Kati ya Wapalestina milioni 3 katika eneo la West Bank ni wale walio zaidi ya umri wa miaka 40 wanaoruhusiwa kuingia Jerusalem siku ya Ijumaa huku wengine wakipatiwa sharti la kuwasilisha ombi la kibali kutoka kwa mamlaka ya Israel.
 
Nadhani hili jambo Mungu hajaliruhusu bado kwasababu wakati haujafika ila location sahihi itakuja kupatikana mahali karibu na ulipo huo msikiti.
 
Iwe ni pale pale ulipojengwa msikiti,

Ndani inasadikiwa kuwepo sanduku la Agano la Mungu.
 
Ukisoma historia kama alivyoandika flavius josephus basi kuna uwezekano sio pale ulipo msikiti bali ni sehemu pembeni ya pale.
 
Mkuu mimi ni mkristo, nimezaliwa mara ya pili katika Kristo Yesu. Hapa nimeandika jambo sahihi.

Maelezo ya Flavius Josephus yanaonekana tofauti kwasababu yeye aliandika uhalisia wa kitu alichokiona.

Temple mount ya leo iko na mabadiliko kidogo na ninaamini ipo siku sehemu sahihi Mungu ataruhusu ijulikane muda utakapofika.

Kuna uwezekano kiti cha rehema au sanduku la agano au wale makerubi watapatikana katika sehemu sahihi na hapo hekalu la mfalme Suleiman litajengwa.

Yesu Kristo anakaribia kurudi, tuwe tayari.
Hekalu lolote litakalo jengwa kuanzia Sasa au baadae ni LA MPINGA KRISTO Sema atawadanganya wengi kuwa ni hekalu LA Mungu....
 
Ni maandiko tu,
Japo hata hivyo inasemekana lilipokuwa Hekalu la Suleman hapajulikani.
Ni kweli bado hawajapata ushahidi wa mahali hekalu lilikuwepo kwasababu warumi walipouharibu mji walivunja kila kitu mpaka hata mlima sayuni waliuondoa.
 
Ofcoz hapajulikani Na wala sanduku LA agano Hakuna Anayejua lilopo..... Subirini Mpaka Mungu atakapowarudisha Waisrael kwenye eneo Lao kwanza......... Hayo mengine yatafuata. Mataifa hawawezi jenga hekalu likawa LA Mungu.
 
Hekalu lolote litakalo jengwa kuanzia Sasa au baadae ni LA MPINGA KRISTO Sema atawadanganya wengi kuwa ni hekalu LA Mungu....
Hekalu halitakuwa la mpinga Kristo bali mpinga Kristo atakuja kuingia kwenye hekalu kama chukizo la uharibifu lililonenwa na nabii Daniel.
 
Ni kweli bado hawajapata ushahidi wa mahali hekalu lilikuwepo kwasababu warumi walipouharibu mji walivunja kila kitu mpaka hata mlima sayuni waliuondoa.
Na Yesu aliwaambia Hakuna kitakachobaki si jiwe juu ya jiwe. So nobody knows where it was.
 
Back
Top Bottom