Msikiti wa Al Aqsa ndiyo Hekalu la Suleman?

Msikiti wa Al Aqsa ndiyo Hekalu la Suleman?

Do you know how many times Mary (Mariam) and Yesu (Isa) mentioned in Quran
we believed them and we pray for them and we did not call them liars
have a nice time
Mariam anayetajwa kwenye Quruan ni dada yake na Moses na Aron ambayo huu ni uwongo mkubwa. Baba yake Marium mnamwita Imran na mama yake anaitwa Hannah.

Iko hivi Imran ambaye kwa biblia anaitwa Amhara alimzaa Aron, Mirium na Moses Misri. Sasa nashangaa iweje Yesu azaliwe Misri. Tena huyu Mirium alifia Kadesh wala hakufika Israel sasa ndo mama yake na Yesu. Huu ni uwongo mkubwa sana.

Mama yake na Yesu aliitwa Mary au Marium, baba yake alikuwa Joackim na Anna. Hawa ndio babu na bibi yake Yesu.
 
If that you believe its ok but we still believe he was born in Bethlehem based on bible maybe you need to read this Wikipedia

Jesus in Islam​

Hawa wayahud waliua Mitume nq Manabii wa Mungu,aviemore Yesu,ambapo katika Qur'an,inaonyesha walipotaka kumuua,Mungu alimuokoa kifo cha msalabani,na kupaishwa mbinguni.Wayahud hawamkubali wala kumwamini Yesu.Wala njia aliyozaliwa,pia hawakubaliani nayo.Ambapo katika uislamu,Yesu anakubalika,njia aliyozaliwa bila baba,pia inakubalika Yesu ndio Issa,ndio Jesus nk.
Hata Mohammed aliuliwa na mwanamke wa kiyahudi kwa kumlisha kondoo aliewekwa sumu. Ndio maana mna hasira
 
Sijakuelewa Unataka Maanisha Nini Au Mnataka Waislamu Tuwaachie Huo Msikiti ?.Waislamu Na Wayahud Tuna Jambo Letu Nyie Wakristo Kaeni Pembeni Msiingilie Wasiyowahusu.Mbona Papa Kakaa Kimya Hajachukua Kikosi Kwenda Kulichukua Hilo Hekalu.Al Aqsa Ni Msikiti Ndo Maana mpaka Leo Umebaki Kuwa Msikiti Tangu Enzi Za Nabii Suleiman Na Utabaki Kuwa Msikiti Mpaka Kiyama Hatatokea Myahud Wala Mkristo Kuuchukua Milele
Solomon was a jew he prayed in a synagogue. He couldn't have been a Muslim as Islam came thousands of years later. Don't steal other's history
 
Back
Top Bottom