Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Dunia hii kiumbe una kinywa kichafuu bora hata tundu la choo..HUNA FAIDA KATIKA. ARDHI HII ZAIDI YA KUPATA HASARA TU
Lakini kama sijaongopa ila kinywa kinachosema ukweli kwako Ni Kichafu basi tatizo lipo kwako
 
Naona umekomaa Na hivo ila wizi Na uuaji unakubali.
Alimbaka Aisha Na kuidhinisha ubakaji wa Mateka Na watumwa
Alishawai onekana anapiga denda kavulana
Mm nataka ushahidi wa rejea ..ALIBAKA,ALILIWA NA NGURUWE,

MBONA MANENO TU
 
Mtume hakuzungumza jambo geni kwani alizaliwa akayakuta hayo mapigano ya kidini hapo middle East. Mtume alikuwa kinara wa uchochezi kwani alitaka kufuta historia ya dini ya Kiyahudi. Hata hao waliojenga huo msikiti walikuwa wanafuata njia hiyo potofu ya mtume. Jua kuwa Israeli haina shida na waislam ila wana Israeli inataka kukomboa maeneo yake matakatifu.
kweli unaongea usiyoyajua.
Mtume anazaliwa dini kuu ilikua uyahudi na Ukristo na uabuduji masanam.
Mtume akaueneza uislam bila upanga mpk anafukuzwa makkah kwenda madina Allah hakumruhusu apigane.
Anafika madina akawakuta mayahudi wakitaka madaraka na wakichochea vita za ukabila.
Miongoni mwa makabila waliyoyachochea vita ni HAUZ NA HAZRAJ.
 
It is on record that the Temple of mountain famously known by its golden dome and Al Aqsa Mosque are two distinctive structures lying in the same ground.
Al Aqsa mosque is distinguished by its imposing black colored dome, and is frequented mostly by Moslems who pay homage to holy sites of the sprawling Jerusalem city.
Leteni hiyo record hapa.
Acheni kubwabwaja propaganda.
Kama hamkuchimbua mabaki mmewezaje kujua km pale kulikua kuna hekalu kabla ya msikiti?
Unajielewa unachozungumza?
LETENI USHAHIDI WA KIAKIOLOJIA TUUSOME HAPA.
 
Jerusalem imetambulika kuwa mji mkuu wa Israeli juzi wakati wa Trump, mambo huenda taratibu, wanaanza kwa kuchukua ardhi baadae wataweka vizuizi vya kuingia mchezo utakuwa umeisha. Ili hili liwezekane vizuri, Marekani na Israeli watafute namna ya kuigombanisha Iran na Taliban ili Iran awekeze nguvu nyingi nyumbani na hivyo apunguze msaada wake kwa Hamas, Hezbollah na mchango wake ndani ya Syria.
Embu acha janja janja ww.
SISI WATU WAZIMA TUNAJIELEEWA.
LINI JERUSALEM IMETAMBULIKA KUWA MJI MKUU WA ISRAEL!?
Mpaka leo mataifa duniani yanaipinga Israel.
 
Embu acha janja janja ww.
SISI WATU WAZIMA TUNAJIELEEWA.
LINI JERUSALEM IMETAMBULIKA KUWA MJI MKUU WA ISRAEL!?
Mpaka leo mataifa duniani yanaipinga Israel.
Dini ya kiyahudi imekuwa karne makumi kabla ya dini ya kiislam kuwepo. Mountain temple ina historia ndefu toka enzi za Daudi mwanaye Suleman...sasa kwamba hilo hekalu la wayahudi halikuwepo hapo sijui mnatoa wapi. Ushahidi wa makala na maandiko utasaidia sana, nitakutafutia nikuletee.

Ukitaka archaeological evidence ni jambo jema kwa wayahudi maana itahusisha kuvunja Msikiti. Je, utakubali hili?
 
Mkuu ole wake! Mzayuni kusubutu kufanya hivyo, akija kuthubutu ndio utakua wakati wa taifa dhaalim la ISRAEL kusambaratika uislam kutawala dunia na myahudi atakapo silimu na kusalimu amri!
Si umesema Israel ni dhaalimu na udhaalimu wake bado yupo na mmemshindwa mnaishia kumpa cheo cha udhalimu, anabomoa ili awe supper dhaalimu
 
Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
That shall be the beginning of the end of Aqsa temple. Grim time ahead. It has been written in the scriptures.
 
Dini ya kiyahudi imekuwa karne makumi kabla ya dini ya kiislam kuwepo. Mountain temple ina historia ndefu toka enzi za Daudi mwanaye Suleman...sasa kwamba hilo hekalu la wayahudi halikuwepo hapo sijui mnatoa wapi. Ushahidi wa makala na maandiko utasaidia sana, nitakutafutia nikuletee.

Ukitaka archaeological evidence ni jambo jema kwa wayahudi maana itahusisha kuvunja Msikiti. Je, utakubali hili?
Unasema uyahudi ulikua kabla ya uislam je una ushahidi gani?
Makala gani uyasemayo ww kuwa uyahudi ulikua kabla ya uislam?
Embu leta hayo makala.
Maana kwa makala niloyasoma mm na niyajuayo mm uislam ulikuwepo toka enzi sambaba na dini zingine (uyahudi,ukristo).
Na ht huko Occupied west bank ktk majangwa yake kuna misikiti iligundulika ikikuwepo toka miaka ya 500 AD.
Na huo mwaka hata mtume Muhammad hajazaliwa amekuja kuzaliwa miaka 40 ijayo km sikosei.
Hilo jina la Suleyman na Daud ni majina ya kiasili ya Kiarabu siyo kiyahudi.
Mpaka hapo ushafeli.
Na kuhusu Masjid Aqswa/Baitul Maqdis miaka nenda miaka rudi ndio unajulikana upo hapo ila hakuna hata chembe ya ushahidi kuhusu hekalu.
LETA HAYO MAKALA NAYASUBIRI.
 
Back
Top Bottom