Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kwa hiyo huyo hayupo ktk shape??.Ni kweli. Ila haikuzuii kustay in shape
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo huyo hayupo ktk shape??.Ni kweli. Ila haikuzuii kustay in shape
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Hebu tuma picha yako na wewe tuone kwanza ulivyo.Huyu ana akiba ya chakula kwa mwezi mzima hata nje kukiwa na mlipuko wa mabomu.
Weeee! usithubutu kunenepa mwenzio nilikuwa na mawazo kama yako sasahivi nahangaika kukata mwiliIla me nimekonda sana natamani Sasa ninenepe kidogo
Kiruuu na bado anaongeza nyama hapo.View attachment 1917321
Sasa huyu shost akiambiwa alipie nyama zote alizozi contaminate, bado tozo la miamala. Maisha ni magumu sana.