Msilete siasa kwenye mpira wa miguu

Msilete siasa kwenye mpira wa miguu

kingphisher

Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
45
Reaction score
79
Nasikia huko watu wakijifariji et ooh, mechi ya simba na Yanga ikipangwa hafu mgeni rasmi awe "MAMA" yanga wataogopa na kukubali kucheza.
nimeshindwa kujua huyo mMama ni nani, na wanaiongelea mMama gani, yupi. ameikuta Yanga au Yanga imemkuta? sijajua huyo mmama ni nani.

Mpira wa miguu haitaji Siasa, ni kanuni na sheria za kimpira tu basi.

kama lengo lenu ilikuwa SImba aigomee mechi hafu mje mpange tarehe mnaotaka nyinyi kwa kumweka huyo "mamaenu" kama mgeni rasmi ili yanga waende uwanjani, sahau. sis ratiba ya darby kwa msimu huu tushamalizana nayo. hayo mengine ni ya kwenu.
 
We unajifanya umeokoloewa wakati ndo wale wale wa kuwasumbua watoto wetu wakik wanaoimba kanisani.

nikimwona mtu yeyote anayejifanya ameokoka namchukia kama nyigu.
wanajifanya wanajua kila kitu.
popote ukikutana naye utasikia bwana asifiwe, (sasa tumfie nani)
wamejwa chuki na masengenyo mioyoni mwao.
wazinzi na washerati namba moja.
ni wafisadi huko makanisani. wanakula ela za masikini. (pumbavu zenu aisee)

wakitaka kitu wanachangiwa, ila wahumini wakitaka wanaombewa, tena wanaisitiza wafunge wasile siku mbili ili maombi yao yamfikie Mungu(shame on you 100 times aisee).
 
Derby haito kuwepo Yanga wamesema mechi wamemaliza, hao wengine wamesema hawachezi mechi zilizobakia za ligi.
 
Kabla ya kuilaumu bodi mbn swala ya maunsa kulinda uwanja hujalizungumzia , u si skip makosa ya team A ukarudia kosa la team B ulichokiandika hapa bado ni siasa
 
Yaani Simba aliaharisha njiani halafu Bodi ikaenda kuzoa huo uharo ikajipaka na kutembea nao mitaani.
Sasa kichaa ni yupi hapo?
 
Kabla ya kuilaumu bodi mbn swala ya maunsa kulinda uwanja hujalizungumzia , u si skip makosa ya team A ukarudia kosa la team B ulichokiandika hapa bado ni siasa

acha ubaradhuli uliokomaa.

meneja wa uwanja hana taarifa, yanga wenyewe hawakupewa alert na hiyo timu yenu,sasa ulitaka waingie kama wanavyoigia KMC bila taarifa yoyote?
 
acha ubaradhuli uliokomaa.

meneja wa uwanja hana taarifa, yanga wenyewe hawakupewa alert na hiyo timu yenu,sasa ulitaka waingie kama wanavyoigia KMC bila taarifa yoyote?
Yn wew ndo kiazi cha jua kali kwamba ww unajua sana sheria na taratibu zote kuliko club yenye wana sheria nguri kbs ktk kitengo?
Nb statement ya simba ya kutopeleka team uwanjani note haikuandikwa na ahamed ally pale kuna jopo la watu pale tena magwiji haswa haswa
 
Tutakukumbusha siku uko uwanjani unapiga yowe....
Aziziiii aziiii daaaaah kakosa penati...
Kashiba maharage ya mama ntilie mwacheni.SIO TU MAMA ,HAJUI NGUVU ZA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.tafadhalini mguseni sikio.
 
Yn wew ndo kiazi cha jua kali kwamba ww unajua sana sheria na taratibu zote kuliko club yenye wana sheria nguri kbs ktk kitengo?
Nb statement ya simba ya kutopeleka team uwanjani note haikuandikwa na ahamed ally pale kuna jopo la watu pale tena magwiji haswa haswa
Kama magwiji wa simba ndo wameandika ile statement ya kipuuzi basi huko simba hakuna watu kabisa
 
Nasikia huko watu wakijifariji et ooh, mechi ya simba na Yanga ikipangwa hafu mgeni rasmi awe "MAMA" yanga wataogopa na kukubali kucheza.
nimeshindwa kujua huyo mMama ni nani, na wanaiongelea mMama gani, yupi. ameikuta Yanga au Yanga imemkuta? sijajua huyo mmama ni nani.

Mpira wa miguu haitaji Siasa, ni kanuni na sheria za kimpira tu basi.

kama lengo lenu ilikuwa SImba aigomee mechi hafu mje mpange tarehe mnaotaka nyinyi kwa kumweka huyo "mamaenu" kama mgeni rasmi ili yanga waende uwanjani, sahau. sis ratiba ya darby kwa msimu huu tushamalizana nayo. hayo mengine ni ya kwenu.
Simba na Yanga ni mradi wa CCM wa kuwapumbaza Watanganyika wawe muda wote wanabishania Usimba na Uyanga huku wenyewe wakijipakulia minyama, ningetamani hivi vilabu viwili vingefungikwa hata miaka mitano ili watu wawe na muda wa kufikiria mambo ya maana kuliko Simba na Yanga.
 
Back
Top Bottom