Msilete Umjini wenu mkija kuzika kijijini

Msilete Umjini wenu mkija kuzika kijijini

Umenikumbusha mara ya kwanza kufika mjini kakasongwa kaugali nikafikiri labda kuna mtoto anasongewa alafu wakwetu utasongwa tena,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakua na fuko la Rambo sio bure
 
Waambie na hao wavijijini waache kusema sema hivyo ukipita wanasema,wanakutumbulia macho Kama wameona sijui nani kapita! Ukisema uchimbe kaburi ukishika sururu tu wanaanza kusema vilugha vyao! Waambie na wenyewe wabadilike..
Unaenda kuchimba kaburi huku umevaa pensi nyeupe sendo na soksi za kibishoo cheni inaning'inia shingoni na kacha mkononi huku walet imevimba mfukoni unachukua maselfie huku umeshika sululu....lazma wakutete kilugha....acheni ubishoo wa kindezi misibani.
 
unaenda kuchimba kaburi huku umevaa pensi nyeupe sendo na soksi za kibishoo cheni inaning'inia shingoni na kacha mkononi huku walet imevimba mfukoni unachukua maselfie huku umeshika sululu....lazma wakutete kilugha....acheni ubishoo wa kindezi misibani.
Kwani hayo yote yanazuru nini..?
 
Waambie na hao wavijijini waache kusema sema hivyo ukipita wanasema,wanakutumbulia macho Kama wameona sijui nani kapita! Ukisema uchimbe kaburi ukishika sururu tu wanaanza kusema vilugha vyao! Waambie na wenyewe wabadilike..
Nawachukia watu wote wanaoongea vilugha kwenye mikusanyiko ya watu wa tamaduni mbalimbali za kitanzania.
 
unachimba kaburi huku unaogopa kuchafuka soksi na pensi,tatizo linaanzia hapo😀😀
Mkuu ulitaka wavae hirizi pumuzi badala ya cheni.. halafu nijuavyo huchimbi kaburi na viatu Sasa soksi utazivalia wapi..! ile inakuwa ni shughuli ya watu wengi hata ukiingia kuchimba unakuta hutumii hata dk tano mwengine kaingia.. Labda zile sehemu ngumu za kutumia na sururu ndo inakuwa tafrani.. sioni haja ya kumteta mtu ni upuuzi tu si bora umwambie Kama ni kitu Cha mantiki mtu afate.. ukikuta wale wazee wanaojielewa hawana hata huo muda wa kuteta wanakuita pembeni wanakueleza taratibu zinavyofuatwa.. huku kwengine Sasa mpk huwa nashangaa akili za baadhi ya watu!.. ushamba ni mzigo Sana..
 
Mimi nimesha amua kitu kimoja nikienda kijijini kwanza sitembei peke yangu popote pale Mana ndugu wengi siwajui ivo natembea na mwenyeji ahaikikishe kama nimekutana na ndugu aniambie kabla ili nimuanze kumsalimia kwa furaha na chochote nimpe, Huwa napenda kuvunga sehemu ndani kimya nisijulikane nilipo na namuambia sister mmoja tu wakunipikia msosi na aulete kwa siri asiambie mtu kama nipo wapi, Watu wa vijijini bna mtu anakupita kimya kimya mnapishana akìfika huko anaanza kulalamika kuwa husalimii watu ile hali wewe humjui
Mi mambo ya kula kula ovyo sehemu za public hapana aisee iwe misibani au Kwenye masherehe kote sili chakula labda drinks tu
 
Umenikumbusha mara ya kwanza kufika mjini kakasongwa kaugali nikafikiri labda kuna mtoto anasongewa alafu wakwetu utasongwa tena,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ebwanaee, nikashngaa hako kaugali kanatengwa mezani na sahani kila mtu ya kwake madume kama 3 hivi eti ndio mlo wa mchana huo.
.
Nikajipa moyo labda jioni itakuwa afadhali.
Dadek jioni ukaletwa ubwabwa kwenye kihotport eti ndio mlo wa watu kama 4,

Nilitamani kulia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi zilikuja kama Slice nne ivi za mkate saa mbili usiku iyo nikapiga huku najisemea moyoni hii utangulizi chakula kina kuja, Wee kufika saa nne still nipo sebuleni sinikafatwa kuulizwa kuwa nimeshaoneshwa chumba cha kulala, lauhala nkauliza Chakula cha usiku tunakula sangapi nkambiwa ile chai ndio chakula cha usiku sikumaliza siku tatu nkasepa
 
Mkuu ulitaka wavae hirizi pumuzi badala ya cheni.. halafu nijuavyo huchimbi kaburi na viatu Sasa soksi utazivalia wapi..! ile inakuwa ni shughuli ya watu wengi hata ukiingia kuchimba unakuta hutumii hata dk tano mwengine kaingia.. Labda zile sehemu ngumu za kutumia na sururu ndo inakuwa tafrani.. sioni haja ya kumteta mtu ni upuuzi tu si bora umwambie Kama ni kitu Cha mantiki mtu afate.. ukikuta wale wazee wanaojielewa hawana hata huo muda wa kuteta wanakuita pembeni wanakueleza taratibu zinavyofuatwa.. huku kwengine Sasa mpk huwa nashangaa akili za baadhi ya watu!.. ushamba ni mzigo Sana..
ndo mjifunze mkienda kileji umasaki uacheni huko huko
 
Wakumbushe kaka,sio wanakuja kazi kuongea wao kwa wao ,wanapigiana story za mjini,wanasumbua watu ooh kanichajie simu,wapi kuna bia?ukienda kuzika shiriki mwanzo mwisho,hapo ndo chimbuko letu,na ndo tutakapozikiwa,tuheshimu tunaowakuta,tabia ya kuwa bize na smartphone msibani na kupigiana stori za mijini ziishe.
Sasa watapiga story na nani kama nyie hamleti story,halafu nani kakwambia kila mtu asili yake ni kijijini au atazikwa kijijini?
 
Back
Top Bottom