Msimamizi wa "masters" ya Tundu Lissu ajuta!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,149
Reaction score
3,825
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.
 
Ile kesi ya UGAIDI mliyotaka kuwabambikia CHADEMA imefikia wapi?
 
hayo mahojiano umefanya naye wewe au? dada bana, mbona shahada yake ya uzamili hajaipata hapa udsm?
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwazaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwazaura ambae ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwazaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

kama hawezi kushabikia ujinga wa lisu basi yeye atuoneshe werevu wake, ukimchunguza unakuta naye ni msaka tonge asiye na maana yoyote!
 
Kuna jamaa amemwita Lissu kuwa sawa na yule mkuu wa propaganda wa Hitler Goebels!
 
Wakati yeye anajuta wenzake WA-MAREKANI tena from prestigious university more than UDSM wanazidi kumkubali TL na kumpatia MSc nyingine za heshima. Njaa za hawa maprofessor wa Bongo zinapohamia kicwani ni hatari kuliko hata CELEBRAL MALARIA.
 
Ukiona mwanamme mzima anamshambulia mwanamme mwenzake kwa maneno, lazima umtiliye wasiwasi!...
 
Eti Prof.ajuta , hii ni aibu kwa thread kama hii kuachwa ikiwemo hapa.....
 
kusoma siyo inshu kwa nini nisome masters wakati nina degree moja na Tanzania inaniogopa degree ya pili niongeze ya nini" Tundu lissu na wanafunzi wa st augustine mwaka 2013" wewe unaseme kasoma masters ni uongo kabisa huo tena wa lumumba
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwazaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwazaura ambae ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwazaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

Tatizo letu watanzania hatupendi kusikia au kuona kweli inatamalaki kwenye maisha yetu.Inawezekana anamu-envy jinsi anavyoweza kutamka ukweli bila kuogopa.

Ni wachache wenye confidence kama ya Lissu,bado sijaona kibaya alichofanya,nafuu Lissu ameongea kilichomoyoni mwake kuliko wale wanaosema tunaMUENZI Mwalimu ilhali ndiyo wakanza kutafuna Raslimali za Taifa,UFISADI,Uongo na Rushwa.Bora aliyetoa cha moyoni.
 
Sawa,hata Yesu wa Nazareti alikanwa na ndugu zake kabisa.Hivyo si ajabu kwa huyo professor kumkana Lissu kama anatishia maslahi yake kwa namna moja au nyingine.
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwazaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwazaura ambae ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwazaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

Nasikitika kuingiza taaluma na siasa, inaonyesha mchovu wa siasa ukihisisha taaluma.Huyo professa hawezi kuwa Tundu lissu, hivyo mwache professa awe na maoni yake na tundu lissu naye mwache na maoni yake.
 
Kwa hiyo inatakiwa wanafuzi tuwe na mitizamo kama ya walimu wetu? Bora nibebe mawazo y mwl wangu wa std wani.
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwazaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwazaura ambae ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwazaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

Kwa Taarifa yako Tundu Lisu hajafanyia Masters UDSM, Acha uwongo... Nusu Karne ya Uwongo iishe.

Source : Parliament of Tanzania
 
Maprofessor wetu hawa ambao wanaongeza kipato kwa kufuga ng'ombe wawili wa maziwa? hawa njaa tupu hawana lolote!
 
Back
Top Bottom