Msimamizi wa "masters" ya Tundu Lissu ajuta!

Hahahaaa, Wamelewa Mapenzi na CCM kama vile Beyonce alivyolewa Mapenzi kwa Mumewe....

Kinavyonifurahisha ni hawa CCM-lic (Alcoholic), yaani hadi Wanakatika viuno kwa furaha kila wakijitekenya wenyewe.
Kuna jamaa amemwita Lissu kuwa sawa na yule mkuu wa propaganda wa Hitler Goebels!
 
Last edited by a moderator:
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwazaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwazaura ambae ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwazaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Warwick, UK[/TD]
[TD="align: center"]LLM[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar Es Salaam[/TD]
[TD="align: center"]LLB[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

TL hajafanya master UDSM
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwazaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwazaura ambae ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwazaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

Mode watu kama hawa Hamy-D hawastaihili kupewa access kwenye JF's tena. Wanaishushia hadhi JF's kwa kuongea uongo kwa makusudi ili kuridhisha nafsi zao au kuwapaka matope watu.

Pro. Rwazaura tangu lini amekuwa mkufunzi chuo cha Warwick. Huu mtandao hadhi yake inashuka siku hadi siku kutokana na watu kama Hamy-D kupewa fursa humu.

Mode imsimpige BAN tu fukuza kabisa watu kama hawa JF's hadhi yake isishuke
 
Prof huyo kachanganyikiwa!
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Home » Members of Parliament » cv

[TD="width: 56%"] [/TD]
[TD="width: 5%"]
email.gif
[/TD]
[TD="width: 20%"] E-mail this to a friend [/TD]
[TD="width: 5%"]
print.gif
[/TD]
[TD="width: 14%"] Printable version [/TD]
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
SalutationHonourable
First Name: Tundu
Middle Name: Antiphas Mughwai
Last Name:Lissu
Constituent: Singida Mashariki
Political Party: CHADEMA
Office Location: Box 21746, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: tlissu@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 20 January 1968

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%"] Member picture
1755.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
University of Warwick, UKLLM19951996MASTERS DEGREE
University of Dar Es SalaamLLB19911994GRADUATE
Galanos Secondary SchoolA-Level Education19871989HIGH SCHOOL
Ilboru Secondary SchoolO-Level Education19831986SECONDARY
Mahambe Primary SchoolPrimary Education19761982PRIMARY

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%"] Level [/TH]
Company Name Position From To
The Parliament of TanzaniaMember - Singida West Constituency20102015
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)Director of Researcher20032008
The World Resources Institute (WRI), USAResearcher19992002
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT)Researcher19981999
D'Souza ChambersAdvocates19941997
Bondeni Secondary SchoolTeacher19901991

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
CHADEMADirector of Law2004
NCCR-MageuziMember of Parliament Candid

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%"]To[/TH]

My take:

Nusu karne ya uwongo sasa ihishe!?.
 
Mode watu kama hawa Hamy-D hawastaihili kupewa access kwenye JF's tena. Wanaishushia hadhi JF's kwa kuongea uongo kwa makusudi ili kuridhisha nafsi zao au kuwapaka matope watu.

Pro. Rwazaura tangu lini amekuwa mkufunzi chuo cha Warwick. Huu mtandao hadhi yake inashuka siku hadi siku kutokana na watu kama Hamy-D kupewa fursa humu.

Mode imsimpige BAN tu fukuza kabisa watu kama hawa JF's hadhi yake isishuke

Naunga mkono hoja.

Na itakuwa ni jambo la aibu na fedhea kwa uwonngozi wa JF endapo ID hii HAMY-D itaendelea kutumika humu jukwani.
 
Wewe ni kichaa kwani ukisoma nje huwezi simamiwa na mtu wa chuo tofauti katika presentation?

Anzisha Mada nyingine tukujibu, hapa huna hoja.... Hoja siyo je ukiwa unasoma unaweza kusimamiwa na Lecturer kutoka Chuo Kingine?

Je unataka tukupe jina la Aliyemsimamia Lissu kwenye Masters yake ndiyo uone wewe ni Kichaa?
 
Tusimlaumu sana lissu kosa lake ni kufanya siasa wakati yeye cyo mwanasiasa na anayoyafanya ni mambo ya kisheria zaidi ambayo katika siasa hayana nafasi, kwa ufupi siasa haiwezi namshauri arudi katika taaruma yake ya sheria huku kwenye siasa atatupoteza , mambo ya sheria hufuata sheria na cyo ushauri..
 
Na maccm mtajuta huyo ndo lissu mpaka ikulu inatetemeka!!!

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

Mimi sielewi mantiki ya msimamizi kujuta. Hivi kwamfano mkunga akimsaidia mama mjazito na akajifungua salama na baadaye huyo mtoto akaja kuwa mwizi, itakuwa sahihi kwa huyo mkunga kusema anajuta kumsaidia mama yake kujifungua. It doesn't make sense. Mbona pia kuna mtu mmoja anashahada ya uchumi alipoulizwa kwanini nchi yako ni masikini akasema hajui kitu na anashangaa je unataka kusema walimu wake pale chuo kikuu wanajuta kumfundisha? Wao walishamfundisha kama mtu mwenyewe hakuzingatia au kwa asili ni kilaza sasa wajute kwa lipi?
 
Hata kama Mh. Prof alimsimamia au alimfundisha kamwe hakumfundisha kikao cha katiba mpya . Pole Prof
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

Bor puuzi wa Lissu Bungeni, kuiko ufisadi unaofanywa na viongozi wa ccm na kuwaathiri watanganyika. I feel sorry for Migiro
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

hata wewe umeanza porpoganda???
 
Wewe ni kichaa kwani ukisoma nje huwezi simamiwa na mtu wa chuo tofauti katika presentation?

Muwe mnaongea vitu mnavyovijua na siyo kudandia kwa nyuma, achana na maongezi ya magengeni ndugu yangu.

Ni vigumu kumjaji aliyekaa kimya ila akifungua kinywa tu welevu watamtambua ni wa upande upi
 
HAMMY-D, Hujui kwa kusema hivyo unamdhalilisha Profesa Rwezaura! Sioni kama msomi yeyete hasa profesa atajuta mwanafunzi wake anapokuwa Critical thinker kama Tundu Lissu alivyo. Tundu angefurunda katika kesi mahakamani hapo proff. angesikitika. Lakini mwanafunzi anapotoa hoja kinzani katik siasa, mkufunzi hajuti.
 
Tunaelekea kuwamaliza waongo Tanzania. Mtoa mada tumekumaliza.

Jifunze hili, hata Rais Mugabe alipowapinga Wazungu waliwnda mbali sana na kufuta baadhi ya shahada zake kana kwamba walimpa kimakosa. Si ajabu akitokea mwingine na kumpinga Kamanda Lissu.
 
Lissu angekuwa mwana CCM angeshasambaratisha genge lenu, ila mnamtamani sema bei yake haipo yaani hanunuliki kwa fedha.
 
Back
Top Bottom