Msimamizi wa "masters" ya Tundu Lissu ajuta!

Msimamizi wa "masters" ya Tundu Lissu ajuta!

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Warwick, UK[/TD]
[TD="align: center"]LLM[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar Es Salaam[/TD]
[TD="align: center"]LLB[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Galanos Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ilboru Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mahambe Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Pale wanataaluma bobezi waliopewa dhamana ya kusimamia wanataaluma chipukizi wanaposhindwa kuficha hisia zao kwa mabwana waliowapa tips wakihofia kuwakasirisha mabwana hao!
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

Acha kudanganya watu hapa. Tundu lissu alifanya masters yake University of Warwick,UK. Kama huna hoja ya maana kaa kimya. Nyamaza kabisa. Tulia kimya.

Ma profesa wetu bonge njaa tu hakuna lolote kazi kufuga manywele
 
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.

Hoja hii ina maslahi gani kwa umma? Inalenga kujenga nini? simple mind is a poison to civilized people.
 
Basi kama anajuta na hamtambui lissu aende kukata rufaa lissu arudishwe darasani, ajijutie yeye kwa kutamka haya.
 
cc Invisible tundu lissu masters amesoma UK sasa hayo ya harny d yametoka wapi!/? anastahili BAN YA MAISHA
 
Last edited by a moderator:
Hoja hujibiwa kwa hija, si kiroja.

Kuna standards za "academic integrity", tuelezwe ipi imevunjwa, vipi na wapi.

Tusitake kuendekeza "self censorship".

There is no democracy without freedom of speech.

Freedom of speech reigns supreme.
 
Hahahaaa, Wamelewa Mapenzi na CCM kama vile Beyonce alivyolewa Mapenzi kwa Mumewe....

Kinavyonifurahisha ni hawa CCM-lic (Alcoholic), yaani hadi Wanakatika viuno kwa furaha kila wakijitekenya wenyewe.

ImageUploadedByJamiiForums1398254854.864255.jpg
Mkuu uko sahihi kabisa wanajitekenya kisha wanakata mauno. Mleta mada yuko sawa na huyo dada ( kama atakuwa siye).
Hivi huyo Pro Rwezaula mwaka 1995-96 alikuwa University of Warwick UK akifundisha? Maana Tundu Lissu shahada yake masters kaichukulia huko sasa haya yanatoka wapi?
Namshukuru MUNGU kuwa sijawa mfuasi wa CCM ya zama hizi. Maana kila anayekuona kuwa wewe ni mfuasi wa CCM hii anakuona hamnazo kama mleta mada.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
WanaJF,

Aliyekuwa msimamizi wa Tundu Lissu katika tafiti zake alizofanya kwenye shahada yake ya pili (Masters degree) katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Prof Rwezaura, amejuta kwanini alimsimamia Lissu katika masomo yake.

Prof Rwezaura ambaye ana wasifu mzuri wa mambo ya kisheria ameyasema hayo kufuatia upuuzi ambao Tundu Lissu anaufanya bungeni na kudiriki kusema haumtambui kama mwanafunzi wake wa sheria.

Aidha, Prof Rwezaura aliongeza kwa kusema Tundu Lissu wa kwenye siasa ni tofauti kabisa na yule wa taaluma. Hivyo yeye kama msomi hawezi kushabikia ujinga wa Lissu bungeni.

Source: Mahojiano na Prof Rwazaura.
Acha uongo Lissu hajasoma Masters UDSM kaka achana ukanjanja...Soma mahojiano haya na Mwandishi Dilunga.
Lissu: Ingawa jimboni kwetu (Singida Kusini wakati huo) mwanzo hapakuwa na uchaguzi wa vyama vingi, lakini ilikuwa sehemu ya changamoto kisiasa, hata wabunge waliokuwa wakichaguliwa walidumu kwa muhula mmoja tu.
Sasa ghafla tukawa na demokrasia pana zaidi - vyama vingi, lakini kwenye uchaguzi huo (1995) ikaelekea CCM itapita bila kupingwa. Kwa hiyo nikajitokeza kugombea ubunge jimbo la Singida Kusini.
Lakini wakati naanza mchakato wa kuwa mgombea, nikapata scholarship ya Serikali ya Uingereza kwenda kusoma Master’s (Uzamili). Nikaenda shule kuripoti, nikawaambia narudi nyumbani kujaribu ubunge, nikishindwa nitarudi.
Nikatoka Uingereza kuja kugombea ubunge mwaka 1995, nikiwa na miaka 27. Nikarudi shule baada ya kushindwa. Safari yangu ya kisiasa ilianza kujitokeza kipindi hicho.
Nikamaliza shule yangu mwaka 1997, nikaoa na nikahamia Dar es Salaam (kutoka Arusha alikokuwa akifanya kazi kama mwanasheria ofisi binafsi
 
Huyo prof atakua ndio wale wale waliozoea vya kunyonga!!
 
Well written, ujumbe huu uwafikie CHADEMA wanaopenda kuutumia sana kwenye mikutano yao na humu JF.

Hv ukiamka siku ukakuta CCM hawako madarakani sijui utakaa pozi gani ni mvivu wa kufukiri na mwepesi kusahau ukuu wa wilaya haupatikani JF nenda katoe misaada chalinze pengine watakufikilia mtu akifa
 
Hahahaaa, Wamelewa Mapenzi na CCM kama vile Beyonce alivyolewa Mapenzi kwa Mumewe....

Kinavyonifurahisha ni hawa CCM-lic (Alcoholic), yaani hadi Wanakatika viuno kwa furaha kila wakijitekenya wenyewe.

Muwe mnawaambia na wapenzi wenu vijijini Beyonce ni nani mnaporuka na helikopta, kwa jinsi wanavyowapenda huku hawawapi kura,watajua tu mnakula sahani moja!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom