Msimamizi wa mitandao ya kijamii (social media manager) nipo

Msimamizi wa mitandao ya kijamii (social media manager) nipo

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
363
Reaction score
335
Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager), Nina uzoefu wa kutosha, elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering).

Pia najua website hosting na management (kusimamia tovuti kuanzia kulipia Hadi ufundi)

Naishi: Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
 
Unafanya nini na nini? Tupe Account kadhaa ulizowahi simamia kwa mwezi mmoja tuzione vina performance ipi
 
 
Unafanya nini na nini? Tupe Account kadhaa ulizowahi simamia kwa mwezi mmoja tuzione vina performance ipi
Nafanya
Kulipia matangazo ya Facebook ads, Instagram ads
Graphics design za kawaida
Video Editing za kawaida

Akaunti niliyowahi fanya nayo kazi kwa Sasa siikumbuki, boss alikuja kufanya mwenyewe kwa mbeleni.

Karibu tuyajenge nipo vizuri
 
Back
Top Bottom