NafanyaUnafanya nini na nini? Tupe Account kadhaa ulizowahi simamia kwa mwezi mmoja tuzione vina performance ipi
Kulipia matangazo ya Facebook ads, Instagram ads
Graphics design za kawaida
Video Editing za kawaida
Ameshapata mtu tayariMsimamizi wa mitandao ya kijamii (Social Media Manager) anatakiwa
Wasalaam Wakuu anatakiwa msimamizi wa mitandao ya kijamii awe na sifa zifuatazo ili aweze kufanya kazi kwa ufanisi: 1. Awe ni Mkazi wa jiji la Dar es Salaam, itafaa zaidi akiwa ni Mwanaume (umri usizidi miaka 30) 2. Uwezo wa mawasiliano bora – Awe na uwezo wa kuandika na kuwasiliana kwa...www.jamiiforums.com