LGE2024 Msimamizi Wa Uchaguzi Dodoma: Maandalizi ya Uchaguzi yamekamilika na wagombea 326 kutoka vyama 14 vitashiriki!

LGE2024 Msimamizi Wa Uchaguzi Dodoma: Maandalizi ya Uchaguzi yamekamilika na wagombea 326 kutoka vyama 14 vitashiriki!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wanabodi,

Kuna hii taarifa kwamba kuna vyama takriban 14 ambavyo vimejitokeza kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa huko mkoani Dodoma.

Hivi ukitoa CCM, CHADEMA na ACT hivyo vyama vingine ni vipi? Au ndo matawi ya CCM?

==========================================================

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko, amethibitisha kukamilika kwa maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.

Soma pia: Wananchi Dodoma: Tunataka kupita katika uchaguzi wa haki na huru

Takriban wapiga kura 628,715 wamesajiliwa, na wagombea 326 kutoka vyama 14 wapo tayari kushindania nafasi mbalimbali.

Source: Abood Media

 
Msimamiziii umemaliza kazi ya kuengua wagombea wa upinzani uliyotumwa na Tamisemi kwa niaba ya CCM?
 
Back
Top Bottom