Hapo kwenye W:Simba 2 siyo 1.Leo tarehe 12/2/2019 clabu ya simba imekanusha kwa vitendo kwamba underdog sio jina lake sahihi, baada ya kushikilia nafasi ya pili katika ligi hii kubwa ya clabu bingwa Afrika .
Hii ni baada ya timu zote za kundi D kucheza michezo yao minne kwa sasa.
Ikumbukwe kuwa Clabu ya Simba ilipangwa kundi ambalo wapenzi wa mpira wanaliita kundi la kifo.
Kila la heri mnyamaView attachment 1021001
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchungu Ni kwamba Simba na Al ahly zinapita...Vita Taifa anakufa na Simba Algeria anakufa.
All ahly hawamuachi Vita wala Soura salama....This Is Simba
Yanga hamkati tamaa kumuombea mabaya Simba. Hivi mnapata niniSimba ni rahisi zaidi kusinda Algeria kuliko hapa game ya AS Vita.
Itabidi slogan ya kufa au kupona irudishwe, tufanye kama tunaanza upyaaaaaaaSoura imerahisha kazi. S tunahitaji point 3 tu kutinga robo? Vita tumkalishe hiyo March 9
Mkuu, underdog sio mbwa koko. Ni neno la kizungu kumaanisha ktk waliopo ktk kundi fulani, mwenye nafasi ndogo ya kusonga kutokana na viwango na uzoefu wa wengine ndiye underdog. Na ukweli ni kwamba ktk hizo 16 bora Simba ni underdog. Underdog akoshinda huwa ni surprise ila huwa wanashinda.Leo tarehe 12/2/2019 clabu ya simba imekanusha kwa vitendo kwamba underdog sio jina lake sahihi, baada ya kushikilia nafasi ya pili katika ligi hii kubwa ya clabu bingwa Afrika .
Hii ni baada ya timu zote za kundi D kucheza michezo yao minne kwa sasa.
Ikumbukwe kuwa Clabu ya Simba ilipangwa kundi ambalo wapenzi wa mpira wanaliita kundi la kifo.
Kila la heri mnyamaView attachment 1021001
Sent using Jamii Forums mobile app
Let us keep our feet on the ground!Vita taifa lazima afe, kwa maana hiyo taratibu tutajikuta tumeingia nane bora ya Africa, matokeo ya Js Saoura dhidi ya vita nimeyapenda mno.
Yanga hamkati tamaa kumuombea mabaya Simba. Hivi mnapata nini
Mkuu, underdog sio mbwa koko. Ni neno la kizungu kumaanisha ktk waliopo ktk kundi fulani, mwenye nafasi ndogo ya kusonga kutokana na viwango na uzoefu wa wengine ndiye underdog. Na ukweli ni kwamba ktk hizo 16 bora Simba ni underdog. Underdog akoshinda huwa ni surprise ila huwa wanashinda.
Mimi ni simba damu ila natambua kundi letu sisi ndio underdog ila we are defying the odds.