Msimamo kundi D clabu bingwa CAF

Msimamo kundi D clabu bingwa CAF

McFerson

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,166
Reaction score
2,322
Leo tarehe 12/2/2019 clabu ya simba imekanusha kwa vitendo kwamba underdog sio jina lake sahihi, baada ya kushikilia nafasi ya pili katika ligi hii kubwa ya clabu bingwa Afrika .
Hii ni baada ya timu zote za kundi D kucheza michezo yao minne kwa sasa.

Ikumbukwe kuwa Clabu ya Simba ilipangwa kundi ambalo wapenzi wa mpira wanaliita kundi la kifo.

Kila la heri mnyama
Screenshot_20190213-000322.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita taifa lazima afe, kwa maana hiyo taratibu tutajikuta tumeingia nane bora ya Africa, matokeo ya Js Saoura dhidi ya vita nimeyapenda mno.
 
Leo tarehe 12/2/2019 clabu ya simba imekanusha kwa vitendo kwamba underdog sio jina lake sahihi, baada ya kushikilia nafasi ya pili katika ligi hii kubwa ya clabu bingwa Afrika .
Hii ni baada ya timu zote za kundi D kucheza michezo yao minne kwa sasa.

Ikumbukwe kuwa Clabu ya Simba ilipangwa kundi ambalo wapenzi wa mpira wanaliita kundi la kifo.

Kila la heri mnyamaView attachment 1021001

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye W:Simba 2 siyo 1.
 
kushinda kwa simba ni muhimu sana kwa taifa letu kuliko upinzani wa usimba na uyanga tulio nao. hima wana yanga wenzangu hata kama kwa kinyongo tuunge mkono juhudi za watani. najua tunaumia lakini hatuwezi kukimbia kivuli chetu. kila la heri kwa mechi zilizobaki. muhimu kujipanga mapema. tahadhali: msilewe sifa na kujiona mmemaliza kazi. pigeni na wale wa mkono wengine ili tuwaheshimu
 
Leo tarehe 12/2/2019 clabu ya simba imekanusha kwa vitendo kwamba underdog sio jina lake sahihi, baada ya kushikilia nafasi ya pili katika ligi hii kubwa ya clabu bingwa Afrika .
Hii ni baada ya timu zote za kundi D kucheza michezo yao minne kwa sasa.

Ikumbukwe kuwa Clabu ya Simba ilipangwa kundi ambalo wapenzi wa mpira wanaliita kundi la kifo.

Kila la heri mnyamaView attachment 1021001

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, underdog sio mbwa koko. Ni neno la kizungu kumaanisha ktk waliopo ktk kundi fulani, mwenye nafasi ndogo ya kusonga kutokana na viwango na uzoefu wa wengine ndiye underdog. Na ukweli ni kwamba ktk hizo 16 bora Simba ni underdog. Underdog akoshinda huwa ni surprise ila huwa wanashinda.
Mimi ni simba damu ila natambua kundi letu sisi ndio underdog ila we are defying the odds.
 
Vita taifa lazima afe, kwa maana hiyo taratibu tutajikuta tumeingia nane bora ya Africa, matokeo ya Js Saoura dhidi ya vita nimeyapenda mno.
Let us keep our feet on the ground!
Tunatakiwa kuheshimu timu zingine pia. Mechi ya Al Ahly ya jana maandalizi yake kuanzia washabiki mpaka uongozi tuliwaheshimu Al Ahly kabla ya mechi na matokeo yake ndio hayo ya jana. Vita ni wazuri na tuwaheshimu ila tusiwaogope.
 
Mkuu, underdog sio mbwa koko. Ni neno la kizungu kumaanisha ktk waliopo ktk kundi fulani, mwenye nafasi ndogo ya kusonga kutokana na viwango na uzoefu wa wengine ndiye underdog. Na ukweli ni kwamba ktk hizo 16 bora Simba ni underdog. Underdog akoshinda huwa ni surprise ila huwa wanashinda.
Mimi ni simba damu ila natambua kundi letu sisi ndio underdog ila we are defying the odds.

Watu waliambiwa ni underdogs wakajua maana yake ni mbwa koko, elimu na kitofatilia mambo ni tabu sana.
 
Back
Top Bottom