McFerson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,166
- 2,322
Leo tarehe 12/2/2019 clabu ya simba imekanusha kwa vitendo kwamba underdog sio jina lake sahihi, baada ya kushikilia nafasi ya pili katika ligi hii kubwa ya clabu bingwa Afrika .
Hii ni baada ya timu zote za kundi D kucheza michezo yao minne kwa sasa.
Ikumbukwe kuwa Clabu ya Simba ilipangwa kundi ambalo wapenzi wa mpira wanaliita kundi la kifo.
Kila la heri mnyama
Sent using Jamii Forums mobile app