Msimamo kundi D clabu bingwa CAF

Msimamo kundi D clabu bingwa CAF

Afrika hatujafikia kuitana underdog kwakuwa timu za afrika viwango vyao vinazidiana kidogo
Shafii dauda ni mpuuzi hajui mpira analeta ushabiki
Ngoja nikupe maana ya underdog mfano UEFA wakapanga makundi ya klabu kuna psg juve barca na fenerbach hapo unaweza sema fernabech ni undergo maana nina uhakika anaweza asishinde mechi hata moja anaweza kufungwa zote au kusuluhu 2
Sasa afrika hakuna underdog kila mtu anapokuwa nyumbani anafanya vizuri
mfano kuna mechi Taifa star alifungwa sijui 6 au 7 algeria lkn walivokuja huku wao ndio waliochomoa mechi iliisha sare 2 kwa 2
Tumecheza na ivory coast ya kina drogba na Cameroon ya kina etoo wote hapa nchini kwetu hawatufungi
Lkn Brazil hapahapa nyumbani walitupiga 5 kwa nchi za ulaya na America ukisema sisi underdog nakubali lkn si Africa
Shafii dauda mpuuzi yule
Underdog ni neno linalotumika kwenye ligi za uingereza na scenario yake ni kama Africa, timu ndogo inaweza kuifunga timu kubwa at any point in time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika hatujafikia kuitana underdog kwakuwa timu za afrika viwango vyao vinazidiana kidogo
Shafii dauda ni mpuuzi hajui mpira analeta ushabiki
Ngoja nikupe maana ya underdog mfano UEFA wakapanga makundi ya klabu kuna psg juve barca na fenerbach hapo unaweza sema fernabech ni undergo maana nina uhakika anaweza asishinde mechi hata moja anaweza kufungwa zote au kusuluhu 2
Sasa afrika hakuna underdog kila mtu anapokuwa nyumbani anafanya vizuri
mfano kuna mechi Taifa star alifungwa sijui 6 au 7 algeria lkn walivokuja huku wao ndio waliochomoa mechi iliisha sare 2 kwa 2
Tumecheza na ivory coast ya kina drogba na Cameroon ya kina etoo wote hapa nchini kwetu hawatufungi
Lkn Brazil hapahapa nyumbani walitupiga 5 kwa nchi za ulaya na America ukisema sisi underdog nakubali lkn si Africa
Shafii dauda mpuuzi yule

Sijaona FACT.

Na hata Ulaya haina maana eti ukiitwa underdog haina maana eti huwezi kushinda.
 
Labda tutadroo zote

Mimi naona kocha aende Algeria na mentality ya kutafuta ushindi, wale jamaa nina uhakika kabisa uwezekano wa kuwashinda upo tofauti na haya majamaa ya Congo.

Na tukishinda ile mechi, halafu Al Ahly akakaza Congo, hatuhitaji hata game ya mwisho kupita.
 
Timu za ulaya viwango vyao viko juu sana huwezi fananisha na timu za afrika

Hakuna mahali tumefananisha, isipokuwa kuna wadau wanasema Underdog iko applicable Ulaya na si Africa kwa sababu timu za Africa zinalingana viwango.

Swali la kujiuliza ni kwa nini ni timu zile zile ndiyo zinachukua ubingwa kila mara?

Sisi tunaokataa kuitwa underdog tuko no ngapi kwenye rankings, tuna mafanikio gani Caf ya kujivunia mpaka tukatae kuitwa underdog?

Na ni nani aliyesema ukiitwa underdog maana yake huwezi kushinda?
 
Ndiio maana nikakuambia timu za Africa zinazidiana mbinu tu
Fatilia jambo hili kuanzia Leo unaweza kushangaa unapelekwa kucheza uwanja mbovu au gari la wageni kuzinguliwa njiani
Hii inapelekea mwenyeji kushinda anapoenda ugenini anafungwa kirahisi
Ulaya hili jambo hakuna timu bora inashinda kokote mfano katika miaka 10 iliyopita Yanga au Simba nitajie ktk uwanja wa taifa wamefungwa mechi ngapi au Timu yetu ya taifa stars katika mechi 10 zilizopita taifa amefungwa ngapi?
 
Games ni home and away, hao wanaochukua kila siku wanacheza kwao tu?
 
Nakupa mfano kuna nchi inaitwa Girblata au San Marino nchi hizo zikicheza na timu kubwa za ulaya utakuta ugenini anafungwa 6 bila wakati nyumbani kwake anafungwa 3 bila akicheza na timu kama Spain Germany au France kila hatua ya mashindano yanapotokea anafungwa home and away tena kwa magoli mengi kwakuwa anacheza na timu bora yeye ukimuita underdog ni sawa maana kila anapishiriki anafungwa mechi zote au timu kama Anderletch ya ubelgiji huyu akipangwa ktk kundi la UEFA akiwa na bayan na barca nina uhakika mechi zake za nyumbani anafungwa zote lkn Africa hili jambo hakuna
Je timu ya Yanga au Simba katika mechi 10 zilizopita uwanja wa taifa amefungwa mara ngapi au taifa star amefungwa mara ngapi
 
Wewe ni mmoja wa wale watu wasioelewa maana ya underdog.

Screenshot_20190216-093759.jpg
 
Wewe ni mmoja wa wale watu wasioelewa maana ya underdog.

View attachment 1023816

Sijakataa hayo maelezo na hayo maelezo yanatumika ulaya sio huku ktk hayo maelezo kuna success na win sasa sisi tunashinda mech 2 unasemaje underdog hiyo defination sisi inatukataa hatujabahatisha
Kwa kumalizia jifunze mambo haya
la kwanza sio kila neno linalotumika ulaya lazima litumike na Africa au Tanzania mengine yanatumika sehemu husika likivuka nje halina maana
nimekupa mfano wa girblata unashindwa kuulewa nina uhakika ktk Africa hii hakuna nchi itakayokuja kuifunga Tanzania ktk uwanja wa taifa 3 bila nchi hiyo haipo ktk afrika na pia nina uhakika wa asilimia zote hakuna timu itakayokuja kuifunga Simba au Yanga taifa 3 bila ktk afrika hakuna timu hiyo wote wakija hapa wanakuja kutafuta suluhu
Tanzania kwa nchi za ulaya ni underdog au America Tokea nchi hii ipate UHURU hakuna nchi ya afrika iliyowah kutunga zaidi ya goli 3 bila hapa taifa lakini mbona Brazili alitufunga 5 kwanini unadhani tafakari hili la Brazil na kwanini timu za afrika zikija hapa zinaishia suluhu au tunashinda na kwanini Brazili alitufunga 5
Nimemaliza
 
Huko Ulaya ukishaitwa underdog hushindi?

WC iliyoisha, Croatia was an underdog to reach finals, he defied the odds.

Leicester wakati anachukua ubingwa, mwanzo wa msimu alikuwa na odds za 1:5,000.

Man City kafungwa na Crystal Palace, Leicester na Newcastle ambazo zote zilikuwa ni underdogs.

Back Africa.
Taifa Stars huyu ambaye kila mwaka anahangaika kuitafuta AFCON bila mafanikio unakataa siyo underdog, kisa tu hafungwi goli 3 nyumbani?

Tatizo moja, mnadhani eti timu ukiitwa underdog maana ndiye chovu kupitiliza, ndiyo maana umekuja na mfano wa San Marino. Hata leo Simba anapoenda kukutana na Yanga, utaambiwa Yanga ni underdog, kwa nini? Hapo unaangalia uwezo wa timu na wachezaji wake, ubora kwa kipindi hiki, na kuthibitisha hilo wale bookmakers watampa odds kubwa Yanga tofauti na Simba.

Simple definition ya underdog, angalia distribution ya odds. Ila usikariri eti underdog ni lazima afungwe.
 
Least likely to succed or win sisi hatupo kwenye least likely to win sisi tumeshinda mechi 2 walioekuwa ktk least likely to win waneshinda mechi moja moja au hujawaona ndio maana nikakuambia hii defination sisi inatukataaa
 
Mimi naona kocha aende Algeria na mentality ya kutafuta ushindi, wale jamaa nina uhakika kabisa uwezekano wa kuwashinda upo tofauti na haya majamaa ya Congo.

Na tukishinda ile mechi, halafu Al Ahly akakaza Congo, hatuhitaji hata game ya mwisho kupita.
JS Saoura waliyopigwa taifa, sio hawa utakaocheza nao Algeria. Tokea walipofungwa goli tatu na Simba wakamtimua kocha na sasa wamebadilika sana. Wewe unawaogopa As Vital lakini hujiulizi hao hao wa congo unaowaogopa wewe wameshindwa kupata point tatu za nyumbani kwao dhidi ya Js Saoura na kuambulia sare tu na kisha wamepigwa kule Algeria na wakati hao wa congo wamemfunga Simba magoli matano. Mechi ya Algeria sio nyepesi kwa Simba, ni mechi ngumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni baada ya matokea, status ilikuwaje kabla?

Ndio maana nikakuambia Africa hakuna underdog kwa mechi zilizobaki Soura wanaweza kushinda mech 2 na vital anaweza kushinda 2 na Simba anaweza kuahinda mech 3 au akabaki na mbili zake na al ahyl anaweza kushinda mech 3 au akabaki na 2 zake
Hivyo least likely to win itakuwa imebalance hivyo hakuna ataeshinda mechi chache
Lkn hongera kwa uchambuzi wako
 
Back
Top Bottom