Huko Ulaya ukishaitwa underdog hushindi?
WC iliyoisha, Croatia was an underdog to reach finals, he defied the odds.
Leicester wakati anachukua ubingwa, mwanzo wa msimu alikuwa na odds za 1:5,000.
Man City kafungwa na Crystal Palace, Leicester na Newcastle ambazo zote zilikuwa ni underdogs.
Back Africa.
Taifa Stars huyu ambaye kila mwaka anahangaika kuitafuta AFCON bila mafanikio unakataa siyo underdog, kisa tu hafungwi goli 3 nyumbani?
Tatizo moja, mnadhani eti timu ukiitwa underdog maana ndiye chovu kupitiliza, ndiyo maana umekuja na mfano wa San Marino. Hata leo Simba anapoenda kukutana na Yanga, utaambiwa Yanga ni underdog, kwa nini? Hapo unaangalia uwezo wa timu na wachezaji wake, ubora kwa kipindi hiki, na kuthibitisha hilo wale bookmakers watampa odds kubwa Yanga tofauti na Simba.
Simple definition ya underdog, angalia distribution ya odds. Ila usikariri eti underdog ni lazima afungwe.