Msimamo Ligi Kuu baada ya Mzungu wa Simba, Dejan Georgijevic kuwasha moto (20/08/2022)

Msimamo Ligi Kuu baada ya Mzungu wa Simba, Dejan Georgijevic kuwasha moto (20/08/2022)

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Hivi ndivyo msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Simba kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Mkapa, Agosti 20, 2022

Fan2mWHWQAIAGj8.jpg
 
Hatimaye Mzungu Afunga goli Kali sana huku golini kukiwa hakuna Kipa. [emoji3][emoji3]
Kweli ww kiredio yani kila thread unapita na kiredio kurudia upupu wako huku roho inakuuma. Kipa alikua anajisaidia pale chini na mwenzake akawa anaenda kumsaidia akukutana na shuti kali la mgongo akaangukia huko wote wakaanza kujisaidia. Lete mzuuuuuuungu lete mzuuuunguuuu
 
Huyo mzungu akienda mikoani sijui itakuaje.

Sema goli ni zuri.
 
Kwa simba hii na mpira mliocheza game mbili hizi..washabiki mjiandae...ligi hii itakua ngumu sana kwenu hapo bado hamjakutana na Yanga
Singida
Azam
Coast
Mbeya city..nk

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ligi kuwa ngumu ni jambo la kawaida hakuna ligi rahisi na sisi tumejiandaa kupata matokeo kwenye michezo yote ili kuwa mabingwa wa msimu huu
Kufungwa$,kufunga na kudroo ni sehemu ya matokeo ya mchezo hatuwezi sema haitotokea ila tumejiandaa kikamilifu
 
Kwa simba hii na mpira mliocheza game mbili hizi..washabiki mjiandae...ligi hii itakua ngumu sana kwenu hapo bado hamjakutana na Yanga
Singida
Azam
Coast
Mbeya city..nk

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sasa Yanga uliiona ilivyotota kwa coastal afu mnaona mnacheza vzr sana? Nyie iombeeni timu yenu achaneni na timu yetu
 
Bila ushabiki, makosa yaliyojitokeza mechi ya ngao na kupelekea Simba kufungwa, haimaanishi Simba ni mbovu, team za ligi kuu lazima zimuogope Simba, ni hatarii. Pamoja na kufunga, mzungu bado hawezi mpira, hana nguvu miguuni, apambane Sana kwenye mazoezi haswa gym.
Simba inasaidiwa Sana na beki ya Inonga na Outarra, tuombe beki hii iwe na afya njema muda wote.
 
Back
Top Bottom