Msimamo Ligi Kuu baada ya Mzungu wa Simba, Dejan Georgijevic kuwasha moto (20/08/2022)

Kwa simba hii na mpira mliocheza game mbili hizi..washabiki mjiandae...ligi hii itakua ngumu sana kwenu hapo bado hamjakutana na Yanga
Singida
Azam
Coast
Mbeya city..nk

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Tungekuwa hatujakutana na Kagera nayo ungeiweka. Hivi msimu uliopita baada ya mechi mbili simba alikuwa na points ngapi na mabao mangapi?
 
Tungekuwa hatujakutana na Kagera nayo ungeiweka. Hivi msimu uliopita baada ya mechi mbili simba alikuwa na points ngapi na mabao mangapi?
Mechi mbili za kwanza zilikuwa za away
 
Kwa hiyo Costal na Polisi ni timu za Arusha?

Hapana bali wamezoea kucheza kwenye matuta ya mikonge na viazi je Mtamleta mzungu away acheze kwenye matuta ya viazi saa 10 jioni?
 
Hapana bali wamezoea kucheza kwenye matuta ya mikonge na viazi je Mtamleta mzungu away acheze kwenye matuta ya viazi saa 10 jioni?
Sasa kama wamezoea matuta mbona wakija kwa Mkapa wanalala? Kwa msimu huu Simba siyo ya msimu uliopita. La mkoani litapita naamini bado utatuambia subiri acheze mfululizo mechi nyingi.
 
Hamuwezi kuitaja makolo stars bila kui mention Yanga Mabingwa wa wakati wote?
'ubingwa wa mchongo,,Utopolo FC bila mipango nje ya uwanja hakuna ushindi,

Hilo ndy lililopo ktk ubingwa wa utopolo.
 
Yanga imecheza ugenini kwenye vichuguu sio mkeka na wameshinda
Karia and Co waliipangia Yanga ianze na Mechi ngumu ugenini halafu Simba. Ianze nyumbani kwa makusudi kabisa wakijua yanga atapoteza huku Simba akishinda ili Yanga wapoteze focus. Naona matarajio yamekuwa tofauti. Sijui Karia Sasa anaanda mkakati gani mwingine dhidi ya Yanga
 
'ubingwa wa mchongo,,Utopolo FC bila mipango nje ya uwanja hakuna ushindi,

Hilo ndy lililopo ktk ubingwa wa utopolo.
Uzuri hiyo mipango ya nje tunaifanya hadi kwa makolo😊😊😊😊😊.
 
Simba Haina ubora wowote. Mmekutana ba timu ambazo uwezo wao wa kuadhibu makosa ni mdogo mno. Mechi zote mbili mlikuwa vurnarable. Ni Kama mlivyowafunga St.George mkaniona mna bonge la timu. Halafu mkaja kuonyeshwa panapovuja na Yanga. Mda si mrefu mtaonyeshwa tena panapovuja
 
Bado yupo Onyango mtu kazi, kenned. Wanatosha kuziba pengo likitokea lolote.

Ila nawaombea wote wawe fit kuitumikia timu yetu.
 
Kwa hiyo Costal na Polisi ni timu za Arusha?
Point yangu ilikuwa ni aina ya uwanja, aina ya mpira wa Simba na Yanga huwa zinabebwa sana na ubora wa viwanja. Na ndio maana mechi za mikoani huwa zinaonekana ngumu sana kuliko zinazochezwa kwa Mkapa. Swala la timu ipi ni bora, nadhani jibu inapaswa kusubiri muda uongee. Ubingwa ni safari ndefu yeyote kati ya hizi timu mbili anaweza beba kombe
 
'ubingwa wa mchongo,,Utopolo FC bila mipango nje ya uwanja hakuna ushindi,

Hilo ndy lililopo ktk ubingwa wa utopolo.
Kuna mipango inayofanyikia ndani ya uwanja we kolo kubwa ,sema sishangai nyi makolo mipango yenu mnafanyiaga ndani ya uwanja kv kuchoma viwanja
 
Hebu lete stats za Dejan na Aziz ki, utaona kabisa Dejan ni next level
 
Unamanisha vinyezii viliwatoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…