Msimamo Ligi Kuu NBC (UPDATE)- Timu Yako Ipo Nafasi Ya Ngapi?

Melvine

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
701
Reaction score
1,334
Match day 24.
Kuna timu zina mechi 23 na mechi 22 katika game 30 za ligi kuu ili kukamilisha msimu wa mwaka 2023-2024

Vinara wa magoli.
1. Ki Azizi - 15
2. Fei Toto - 14
3. Shentembo - 11
 

Attachments

  • Screenshot_20240501-035722.jpg
    124.9 KB · Views: 14
Hii ikitakiwa kukaa kwenye ule uzi wa mwasibu
 
Coastal Union wakipambana hapo wanashika nafasi ya tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…