Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

Mmetukosa mm n mluguru na hunambii kitu kuhusu mbowe SHAME ON U na hoja yako ya kikabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee swali zuri sana kwann mbowe na si LIPUMBA,MREMA na wengineo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe hatoki SIMPLY... mngeanza na lipumba kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toeni maoni yenu, ila mwisho wa siku wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CDM ndio wanaoamua Mbowe abaki, na kwa hizi kelele zenu zisizoisha, ndio mnazidi kumuongezea Mbowe sababu ya kuchaguliwa tena na tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahongeki!!!

Rejea uchaguzi mkuu wa 2015 ndiyo uje na jibu sahihi kama anahongeka au la!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Yale yalikuwa ni maamuzi ya Chama kizima na sio Mbowe tupu,na hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kununuliwa,ila nyie wazi wazi tunaona namna mnavyowanunua wabunge na madiwani wa upinzani.

Mbowe ni Jabari zito sana
 

Washindwe kabisaa,hawajui kuwa kwetu sisi CHADEMA ni IBADA,kukiondoa mioyoni mwetu sio rahisi kabisa
 
Hawezi jiuzulu sababu ya magugu kuondoka shambani,hilo ni sawa na Kusema koffi olomide aaache mziki kwa kuondokewa na wanamziki wake wakati yeye ndo mziki wenyewe ukiwa kichwa akiondoka mtu anaziba mtu,
 

Mbowe ni Jabari zito sana.
 
Mbowe kweli ni tatizo

Lakini Tatizo zaidi ni JPM anayeminya shughuli halali za kisiasa nchini, kutumia cheo chake kukandamiza watu na kuwaumiza mpaka inafikia hatua wanaona bora wawe upande wake ili familia zao zipone.

Kiufupi chaguzi mbalimbali za marudio ya ubunge na uhuni wa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanywa ili kulazimishia ushindi CCM siyo kosa la Mbowe, ni kosa la Maguful. Sasa huwezi kuwa biased kiasi hicho kurusha lawama zote kwa victim badala ya kuzirusha kwa mkandamizaji anayeharibu demokrasia nchini.

Ni hivi waambie watawala waweke chaguzi huru na haki kisha uje urushe lawama zako hapa
 

Kwa mtu ambae anajipambanua kuwa ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa inashangaza we jamaa kuandika ulichokiandika hapo kwenye bold. Sijui umeamua kuongopa ili iweje, hata kama una chuki binafsi na Freeman Mbowe basi hii yako imepitiliza.

Kwa madai yako ni "Tanzania pekee kiongozi anashindwa uchaguzi halafu anaendelea kuwa kiongozi wa chama"; umeshawahi kumsikia Abdoulaye Wade wa Senegal? Aligombea Urais mara nne bila mafanikio lakini akashinda mara ya 5.

Kanali Kizza Besigye amekuwa kiongozi wa upinzani kwa miaka mingapi?

Mwai Kibaki aligombea mara ngapi? Rafiki wa mungu wenu jiwe Raila amegombea mara ngapi?

Mwanakijiji acha unafiki; jitangaze hadharani waziwazi kuwa wewe ni muimba mapambio.
 
Soma bila kuweka hisia zilizoumizwa. Unaona bado anastahili kuongoza CHADEMA kuelekea kushindwa tena? Hadi nini kitokee ndio utajua upinzani unahitaji kiongozi mwingine?
Mbowe kashindwa wapi?... Kuzui mtu kujiunga na chama Cha siasa kwa mujibu wa katiba!!!
 
Hao wote walioondoka waltoka CCM mwaka 2015. kulikuwa wimbi kubwala CCM kuondoka na kuingia CHADEMA iweje leo ionekane kuwa ni big deal wakati wamerudi kwao?
na je ni chaguzi zipi Chadema wameshindwa? wa uraisi? kama ni wabunge na madiwani na serikali za mitaa kila mwaka wa uchaguzi toka kuanza wamekuwa wakifanya vizuri wakipanda kwa namba. lakini pia mwaka 2015 nafasi ya Uraisi upinzani walishinda..ha ha ha ha.
anyway, wewe ni mfia pesa tunakujua, hoja zako za zamani ulilenga ili kupata pesa, na sasa unatoa hoja ili kupata pesa ama kupata cheo...sikupendi sikuhizi...Pascal tu ndio amebaki na hoja za maana zenye ukweli, sio wewe.......huna hoja nyingine zaidi za chadema tu kila andiko....una keraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mbowe hana budi kjjiuzulu nafasi ya uenye kiti, vinginevyo na mwelekeo unavyo kwenda chadema kitatokea kama kilicho tokea CUF Lipumba na CUF maalim.
CHadema itakuwa chadema ya Mbowe na chadema ya Mnyika.......muda utafika

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Hawa members wanaondoka wote walitoka CCM mwaka 2015 baada ya kushindwa na kufata vyeo, wametumika na vyeo hivyo walivyopata sasa baada ya kuona hawatapata tena vyeo au wamekosa wanaona wataishi vipi, bora warudi pengine watapewa vyeo huko.
labda mkakati chama kikatae makapi ya ccm na kuwapa nafasi ama vyeo, wapokelewe tu kama wanachama.
 
Kwani CHADEMA ni ya Wamachame?Ni kweli Mbowe anatokea pande hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…