Msimamo : Sitashiriki dua ya kuiombea Taifa Stars iliyoitishwa na Makonda siku ya Jumamosi

niliposikia taarifa ya kuleta mtaalam kutoka nje ili kupanga ratiba nilicheka sana !
Naanza kuamini kweli wanasiasa ni wateja wakubwa wa waganga wa kienyeji kama mambo yenyewe ndo haya jamani si waombe ata lecturers wa vyuo vyetu wawasaidie kupanga hio ratiba ya ligi aibu aisee!! Ata manager wa bar anaweza kawapangia ratiba vizuri tu
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ndugu Paulo Makonda amejipachika uongozi wa Timu ya Taifa , haijafahamika malengo yake , bali kinachofahamika ni kwamba Mungu hataniwi , na kwa kadiri ninavyomfahamu mtu huyu hana uadilifu wa kuhamasisha wananchi kumuomba Mungu kwa ajili ya Taifa Stars au jambo lolote

Sitashiriki dua aliyoihamasisha maana nafahamu kwamba Mungu hatoipokea .

Ujumbe wangu huu haumaanishi kwamba siungi mkono timu ya Taifa langu , lakini ni wazi kwamba sitaki unafiki kwenye masuala yanayomhusisha Mwenyezi Mungu

Naomba kuwasilisha
kwani wewe ni nani mkurugenzi kwenye masuala ya ki Imani mpaka ionekani kwamba kutokushiriki kwako kutaleta Impacts?
 
Mimi siwezi kushiriki katika lolote analoanzisha huyu bwana. Kwa ujumla hajawahi kuanzisha jambo likafanikiwa
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ndugu Paulo Makonda amejipachika uongozi wa Timu ya Taifa , haijafahamika malengo yake , bali kinachofahamika ni kwamba Mungu hataniwi , na kwa kadiri ninavyomfahamu mtu huyu hana uadilifu wa kuhamasisha wananchi kumuomba Mungu kwa ajili ya Taifa Stars au jambo lolote

Sitashiriki dua aliyoihamasisha maana nafahamu kwamba Mungu hatoipokea .

Ujumbe wangu huu haumaanishi kwamba siungi mkono timu ya Taifa langu , lakini ni wazi kwamba sitaki unafiki kwenye masuala yanayomhusisha Mwenyezi Mungu

Naomba kuwasilisha
Wengi tulishampuuza ila uzuri anamazombi wake anaowaongoza so tusishangae wakafulika
 
Hata hivyo Mungu ni wa wote hawezi kuipendelea Taifa Stars na kuziacha nyingine kwakuwa na wao wana muomba Mungu huyo huyo hivyo hizo dua ni za kumpotezea Mungu muda. Na hapa ndipo huwa tunashindwa badala ya kujiandaa vizuri tunaanza kumtaka Mungu ndiye atufanye tushinde! Huo ndio upumbavu wa viongozi wetu. Sasa angalia yule mwingine naye aliyeokotwa pale jalalani eti ataleta watalaamu kutoka nje wa kuja kupanga ratiba ya ligi kuu!
Kabisa hii tabia ya kumsingizia Mungu kwa kila kitu ni hovyo sana. Mungu akakupa uwezo wa kujisaidia sasa badala ya kujiandaa vizuri kama unavyosema tunakimbilia Mungu. Huwa nachukia hata nikiona mchezaji baada ya mechi anahojiwa team imefungwa utasikia tunashukuru tu Mungu yaani wao wanajitoa na majukumu ni kama majaliwa yao tu. Fanyeni mazoezi mipango kabambe Mungu yeye anamambo yake sisi binadamu hatuna uwezo nayo. Kuna maradhi, kifo sijui vimbunga na mambo ambayo hayako katika uwezo wetu haya ya kumuomba Mungu. Mpira fanya mazoezi Mungu ni wetu wote sisi pamoja wa wapinzani.
 
Mimi nafikiri ma CCM wote wameokotwa jalalani. Maana wote wanafanana kwa tabia. Wewe angalia tu Iringa, Dar, Arusha, na pale Dodoma bungeni na yule mbwa koko wa Dodoma police
Hata hivyo Mungu ni wa wote hawezi kuipendelea Taifa Stars na kuziacha nyingine kwakuwa na wao wana muomba Mungu huyo huyo hivyo hizo dua ni za kumpotezea Mungu muda. Na hapa ndipo huwa tunashindwa badala ya kujiandaa vizuri tunaanza kumtaka Mungu ndiye atufanye tushinde! Huo ndio upumbavu wa viongozi wetu. Sasa angalia yule mwingine naye aliyeokotwa pale jalalani eti ataleta watalaamu kutoka nje wa kuja kupanga ratiba ya ligi kuu!
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ndugu Paulo Makonda amejipachika uongozi wa Timu ya Taifa , haijafahamika malengo yake , bali kinachofahamika ni kwamba Mungu hataniwi , na kwa kadiri ninavyomfahamu mtu huyu hana uadilifu wa kuhamasisha wananchi kumuomba Mungu kwa ajili ya Taifa Stars au jambo lolote

Sitashiriki dua aliyoihamasisha maana nafahamu kwamba Mungu hatoipokea .

Ujumbe wangu huu haumaanishi kwamba siungi mkono timu ya Taifa langu , lakini ni wazi kwamba sitaki unafiki kwenye masuala yanayomhusisha Mwenyezi Mungu

Naomba kuwasilisha
Ngoma inogile
 
Back
Top Bottom