Msimamo: Sitashiriki Misa ya Christmas kwenye kanisa ninalolishiriki miaka yote kwa vile halipigi vita utekaji

Mtu kaenda kulala kwa mchepuko "katekwa"
Mtu kakamatwa tu na polisi wasio na sare tu " katekwa"
Mwogopeni mungu nyie watu mambo ya kutekana muyasikie tu.
Halafu hizo ni taasisi zinazofanya kazi kivyake, leo hii kweli ww ushindwe kwenda kanisani kisa Magu anasali pale na ww hajawakamata watekaji???
Iko siku mtasema mnaumwa na mbu rais yuko wapi mnapata marelia.
Iko siku mtaumwa kipindupindu mtamlaumu rais.
 
Usishirikiane na serikali pia... maana wasiojulikana hawajawakatama hadi leo
 
Mimi ni Mkatoliki jana na leo sijaenda. Nimesali nyumbani, siwezi kuungana na wahuni eti na mapadre na maaskofu hasa lile Pengo la kwenye meno ya shetani! Siwezi!
 
Mimi ni Mkatoliki jana na leo sijaenda. Nimesali nyumbani, siwezi kuungana na wahuni eti na mapadre na maaskofu hasa lile Pengo la kwenye meno ya shetani! Siwezi!
Hakika Mungu atakubariki sana
 
Nilishaaga acha kuamin hawa wachungaji maana kweny siasa wapo,serikalini wapo,,hata uzinzi ,,kama aliye mlaza muumin kifo cha mende,,nakushauli baki na msimamo wako
 
Utakuwa hujawahi kwenda Kanisani kufatana na inavyotakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…