wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishirikiane na serikali pia... maana wasiojulikana hawajawakatama hadi leoBaada ya kutafakari kwa muda mfupi nimefikia hitimisho kwamba kuanzia leo sitashiriki ibada zote kwenye kanisa ninaloshiriki siku zote na nililozoeleka kuabudu baada ya kanisa hilo kufumbia macho utekaji unaofanywa nchini mwetu.
Kanisa hili ni miongoni mwa makanisa ambayo watuhumiwa wa utekaji husali pia, nimeamua kujiondoa kwa hofu ya kumchukiza Mungu kwa kushirikiana madhabau na wanaonyooshewa vidole na wananchi huku kanisa langu na viongozi wake wakinyamazia, natambua kwamba dhambi ya kushirikiana na wenye tuhuma hizi itanikabili mimi binafsi mbele za Mungu bila Mchungaji au baba Paroko kunisaidia, najua wapo wanaosema nisali kwa ajili ya Mungu na si kwa ajili ya binadamu, lakini wamesahau kujiuliza kwanini maeneo matakatifu kama makanisa yalianzishwa.
Sitashiriki misa kwenye kanisa linalonyamazia dhambi kwa sababu MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
soma tena unieleweUnaenda kanisani kumtafuta nani??? Kumtafuta Mungu au mahubiri ya kutekwa?
Kilichokupeleka kanisa ni nini? Ni imani au matakwa yako?
Wewe umekielewa kwanza nilichokiandika?soma tena unielewe
swali la kijinga sana !Wewe umekielewa kwanza nilichokiandika?
Mimi ni Mkatoliki jana na leo sijaenda. Nimesali nyumbani, siwezi kuungana na wahuni eti na mapadre na maaskofu hasa lile Pengo la kwenye meno ya shetani! Siwezi!Baada ya kutafakari kwa muda mfupi nimefikia hitimisho kwamba kuanzia leo sitashiriki ibada zote kwenye kanisa ninaloshiriki siku zote na nililozoeleka kuabudu baada ya kanisa hilo kufumbia macho utekaji unaofanywa nchini mwetu.
Kanisa hili ni miongoni mwa makanisa ambayo watuhumiwa wa utekaji husali pia, nimeamua kujiondoa kwa hofu ya kumchukiza Mungu kwa kushirikiana madhabau na wanaonyooshewa vidole na wananchi huku kanisa langu na viongozi wake wakinyamazia, natambua kwamba dhambi ya kushirikiana na wenye tuhuma hizi itanikabili mimi binafsi mbele za Mungu bila Mchungaji au baba Paroko kunisaidia, najua wapo wanaosema nisali kwa ajili ya Mungu na si kwa ajili ya binadamu, lakini wamesahau kujiuliza kwanini maeneo matakatifu kama makanisa yalianzishwa.
Sitashiriki misa kwenye kanisa linalonyamazia dhambi kwa sababu MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
Hakika Mungu atakubariki sanaMimi ni Mkatoliki jana na leo sijaenda. Nimesali nyumbani, siwezi kuungana na wahuni eti na mapadre na maaskofu hasa lile Pengo la kwenye meno ya shetani! Siwezi!
Maneno ya mtapaji hayo ujinga wako utakua umekizi hadi ISO🙌swali la kijinga sana !