johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bunge lenyeww ni hili linaloongozwa na Ndugai!! Ndugai ni Bendela fata upepo hana msimamo hata kidogo. Kumbuka alisema ana faili MilembeNawasalimu kwa jina la JMT.
Je, msimamo wa bunge kuhusu mradi mkubwa wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni upi?
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ni ule alioutoa kilaza Ndugai, au hukuusikia?Nawasalimu kwa jina la JMT.
Je, msimamo wa bunge kuhusu mradi mkubwa wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni upi?
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Mkuu, huelewi mkiendeleza fyokofyoko zenu hata hiyo Bagamoyo mtaikosa?Isije kuwa ni kwa gharama ya kuiuza Tanzania, tukabakia na uhuru wetu wa bendera tukiwa na eneo ndani ya mipaka, ambalo hatuna nguvu ya kulimiliki.
Mkuu akipatacho mtu hutokana na jasho lake. Mwanasiasa ukimuamini sana utaishia kulaumu unapokuwa umekaa na marafiki zako.Mkuu, huelewi mkiendeleza fyokofyoko zenu hata hiyo Bagamoyo mtaikosa?
Hoja zitaanza kujengwa kueleza historia nzima ya ukanda huo wa Pwani. Mzanzibari na mtu wa Pwani watadai wao siyo sehemu ya Tanganyika, mnayoitambua nyinyi kama Tanzania kwa sasa.
Mama na ndugu yake watairudisha Bagamoyo mahali pake, na huo ndio utakuwa mwisho wa habari yenu.
'Seriously', kuna mkakati mkubwa kati ya hawa wawili na jamaa zao akina Rostam na Zungu na wenzao. WaTanzania wasiposimama kidete na kupiga kelele, maskini wa nchi hii hataambulia kitu. Tuna majitu manyang'anyi wakubwa wanaosubiri kunyakuwa kila kitu.
Ngoja tusubiri, tutayaona mengi safari hii.