PreGE2025 Msimamo wa CHADEMA wa “No reform, no election”, nani yuko nyuma yao anayewapa ujasiri na kusonga mbele?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Emanueli misalaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
2,975
Reaction score
4,082
Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.

Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"

Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao mbele wasibadili gear angani?

Je nani yuko nyuma yao?

Chadema wanaijua gharama ya kupambania hiki kitu ambacho ni cha thamani sana kwa maslahi mapana ya taifa letu, hawaogopi rafu, vitisho, propaganda, baadhi yao kununuliwa nk nk,

Upande wa pili yaani CCM wana vyombo vyote vya dola wana haja gani baadhi yao kuwahofia Chadema?
Maana propaganda hivi karibuni ni nyingi ili kupoteza lengo mara serikali mechi ya Yanga na Simba watumie watu wao undercover kuahirisha mara empoxy nk nk,

Maana nikimwangalia Makamu mwenyekiti na Katibu wa Itikadi na Uenezi namna wanavyojibu hoja za Chadema ni kama vile wako katika hali ya kupanic, kwa nini wapanic wakati vyombo vya dola viko chini yao na upinzani hauwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano na Watanzania ni waoga si rahisi kuwaingizia barabarani kwa maandamano kwa asilimia kubwa?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Je Chadema awaogopi kwamba wasiposhiriki uchaguzi huu kuanzia mwakani watajikuta si chama kikuu cha upinzani tena?

Ruzuku watakuwa hawapati tena?

Je Chadema kama chama wamefanya tathimini vya kutosha faida za kutokushiriki na kushiriki?

Mimi ni Mtanzania nisiye na chama chochote.
 
Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.

Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"

Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao?

Je nani yuko nyuma yao?

Upande wa pili yaani CCM wana vyombo vyote vya dola wana haja gani baadhi yao kuwahofia Chadema?

Maana nikimwangalia Makamu mwenyekiti na Katibu wa Itikadi na Uenezi namna wanavyojibu hoja za Chadema ni kama vile wako katika hali ya kupanic, kwa nini wapanic wakati vyombo vya dola viko chini yao na upinzani hauwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano na Watanzania ni waoga si rahisi kuwaingizia barabarani kwa maandamano kwa asilimia kubwa?

Je Chadema awaogopi kwamba wasiposhiriki uchaguzi huu kuanzia mwakani watajikuta si chama kikuu cha upinzani tena?

Ruzuku watakuwa hawapati tena?

Je Chadema kama chama wamefanya tathimini vya kutosha faida za kutokushiriki na kushiriki?

Mimi ni Mtanzania nisiye na chama chochote.
Nguvu ya umma
 
Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"

Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao mbele wasibadili gear angani?
Wananchi wameupokea kwa mikono miwili, wamechoka kiporwa uchaguzi, kuuawa na kutekwa kwa wagombea wao.

Mimi naona hiki ndio kiko nyuma yao.
 
Umepokelewa kwa mikono miwili kwa kiasi gani?
Wananchi hawa wakiletewa propaganda ya Simba na Yanga kama hii ya majuzi wamejadili mpira zaidi ya wiki mbili, kila sehemu unakoenda ni mechi ya watani kuahirishwa kumbe propaganda ya serikali ili tu kuwatoa watu kwenye Reli?
CCM inawajuwa Watanganyika ni watu wa aina gani, ndiyo maana God bless anatamani Simba na Yanga zife.
 
Umepokelewa kwa mikono miwili kwa kiasi gani?
Wananchi hawa wakiletewa propaganda ya Simba na Yanga kama hii ya majuzi wamejadili mpira zaidi ya wiki mbili, kila sehemu unakoenda ni mechi ya watani kuahirishwa kumbe propaganda ya serikali ili tu kuwatoa watu kwenye Reli?
Ile ya Mpox na Ebola ilikufa kibudu
 
Mkuu haikuwa kweli?
Vipi kiuchumi athari zake ni zipi kwa wafanyabiashara na utalii wetu?
 
Kwa nini Mkuu Detective J kutuita wadanganyika? Je na ww ni miongoni mwao bila shaka?
Not anymore, sipo kwenye kundi la wadanganyika kwa mda mrefu sana. Why nawaita wadanganyika?

Ni warahisi kudanganyika, warahisi kusahulishwa shida zao na kitu kidogo, chawa wamekuwa white wash component ya kufunika madudu ya wana siasa, hata kama wamecommit madudu mangapi. Wadanganyika watasahau na kuwapigia kura again and again
 
Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.

Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"

Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao mbele wasibadili gear angani?

Je nani yuko nyuma yao?

Upande wa pili yaani CCM wana vyombo vyote vya dola wana haja gani baadhi yao kuwahofia Chadema?

Maana nikimwangalia Makamu mwenyekiti na Katibu wa Itikadi na Uenezi namna wanavyojibu hoja za Chadema ni kama vile wako katika hali ya kupanic, kwa nini wapanic wakati vyombo vya dola viko chini yao na upinzani hauwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano na Watanzania ni waoga si rahisi kuwaingizia barabarani kwa maandamano kwa asilimia kubwa?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Je Chadema awaogopi kwamba wasiposhiriki uchaguzi huu kuanzia mwakani watajikuta si chama kikuu cha upinzani tena?

Ruzuku watakuwa hawapati tena?

Je Chadema kama chama wamefanya tathimini vya kutosha faida za kutokushiriki na kushiriki?

Mimi ni Mtanzania nisiye na chama chochote.
Jibu ni moja tu, ni wananchi waliochoshwa na serikali ya CCM iliyojaa ghilba,hadaa,ulaghai,ufisadi na ubabe. Hii nyomi inayojitokeza kupokea elimu ya No Reform No Election ni ushahidi wa sababu hiyo.
 
Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.

Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"

Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao mbele wasibadili gear angani?

Je nani yuko nyuma yao?

Upande wa pili yaani CCM wana vyombo vyote vya dola wana haja gani baadhi yao kuwahofia Chadema?

Maana nikimwangalia Makamu mwenyekiti na Katibu wa Itikadi na Uenezi namna wanavyojibu hoja za Chadema ni kama vile wako katika hali ya kupanic, kwa nini wapanic wakati vyombo vya dola viko chini yao na upinzani hauwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano na Watanzania ni waoga si rahisi kuwaingizia barabarani kwa maandamano kwa asilimia kubwa?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Je Chadema awaogopi kwamba wasiposhiriki uchaguzi huu kuanzia mwakani watajikuta si chama kikuu cha upinzani tena?

Ruzuku watakuwa hawapati tena?

Je Chadema kama chama wamefanya tathimini vya kutosha faida za kutokushiriki na kushiriki?

Mimi ni Mtanzania nisiye na chama chochote.
Kwani tangu miaka hiyo ccm kwa jinsi wanavyojua wao walifanya vya vikuu kuwa akina Tiielipi,siiiyuefu na akina chaumwa sasa bado tu ulikuwa hujayaona hayo,ulijiuliza kutoka wabunge 70+ hadi 1+covid 19.Tuweni wakweli Watanzania na ikiwa hivyo utakuwandio mwisho wa umaskini wa taifa la Tanzania.
 
Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.

Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"

Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao mbele wasibadili gear angani?

Je nani yuko nyuma yao?

Upande wa pili yaani CCM wana vyombo vyote vya dola wana haja gani baadhi yao kuwahofia Chadema?

Maana nikimwangalia Makamu mwenyekiti na Katibu wa Itikadi na Uenezi namna wanavyojibu hoja za Chadema ni kama vile wako katika hali ya kupanic, kwa nini wapanic wakati vyombo vya dola viko chini yao na upinzani hauwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano na Watanzania ni waoga si rahisi kuwaingizia barabarani kwa maandamano kwa asilimia kubwa?

Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Je Chadema awaogopi kwamba wasiposhiriki uchaguzi huu kuanzia mwakani watajikuta si chama kikuu cha upinzani tena?

Ruzuku watakuwa hawapati tena?

Je Chadema kama chama wamefanya tathimini vya kutosha faida za kutokushiriki na kushiriki?

Mimi ni Mtanzania nisiye na chama chochote.
Chadema siyo chama ni Mori miyooni mwa watu

Huwezi uzima Mori uliopanda amini
 
Back
Top Bottom