Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
- Thread starter
- #21
Maslahi mapana ya taifaLakini ukiambia kati ya ccm na andazi utachagua nini?
Maslahi mapana ya taifaLakini ukiambia kati ya ccm na andazi utachagua nini?
Aiseee, nani wa kulaumiwa? Viongozi wa dini au waasisi wa Taifa?Not anymore, sipo kwenye kundi la wadanganyika kwa mda mrefu sana. Why nawaita wadanganyika?
Ni warahisi kudanganyika, warahisi kusahulishwa shida zao na kitu kidogo, chawa wamekuwa white wash component ya kufunika madudu ya wana siasa, hata kama wamecommit madudu mangapi. Wadanganyika watasahau na kuwapigia kura again and again
Je wananchi hao kwa kiasi gani unafikiri wataweza kuzuia uchaguzi kufanyika Oct 2025?Jibu ni moja tu, ni wananchi waliochoshwa na serikali ya CCM iliyojaa ghilba,hadaa,ulaghai,ufisadi na ubabe. Hii nyomi inayojitokeza kupokea elimu ya No Reform No Election ni ushahidi wa sababu hiyo.
Kama una connection na mtu yeyote mkubwa TISS mwambie akupe matokeo ya kura ya maoni kuhusu Samia anavyokubalika nchini. Utashangaa. Ndiyo maana hata yeye ana wasiwasi sana, hajiamini.Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.
Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"
Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao mbele wasibadili gear angani?
Je nani yuko nyuma yao?
Upande wa pili yaani CCM wana vyombo vyote vya dola wana haja gani baadhi yao kuwahofia Chadema?
Maana nikimwangalia Makamu mwenyekiti na Katibu wa Itikadi na Uenezi namna wanavyojibu hoja za Chadema ni kama vile wako katika hali ya kupanic, kwa nini wapanic wakati vyombo vya dola viko chini yao na upinzani hauwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano na Watanzania ni waoga si rahisi kuwaingizia barabarani kwa maandamano kwa asilimia kubwa?
Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Je Chadema awaogopi kwamba wasiposhiriki uchaguzi huu kuanzia mwakani watajikuta si chama kikuu cha upinzani tena?
Ruzuku watakuwa hawapati tena?
Je Chadema kama chama wamefanya tathimini vya kutosha faida za kutokushiriki na kushiriki?
Mimi ni Mtanzania nisiye na chama chochote.
Mkuu una uhakika gani jeshi litawapuuza kuelekea Oct 2025?Wanaogopa sana mwisho wanategemea JWTZ ndio iwalinde lakini hata Jeshi litawapuuza.
Unaongelea umma upi?CHADEMA ni nguvu ya umma, Chama chenye viongozi wazalendo, wachapa kazi, majasiri, wenye Nia ya kulikomboa taifa hili dhidi ya utumwa tulio nao
Mkuu sina connection.Kama una connection na mtu yeyote mkubwa TISS mwambie akupe matokeo ya kura ya maoni kuhusu Samia anavyokubalika nchini. Utashangaa. Ndiyo maana hata yeye ana wasiwasi sana, hajiamini.
Ambayo ni?Maslahi mapana ya taifa
Ngoja tuone
Hakuna uchaguzi huru lakini rais anapoona hakubaliki sana ni lazima awe na wasiwasi mkubwa. Na mbaya zaidi CCM ndiyo hawamtaki.Mkuu sina connection.
Je kwa Tanzania uchaguzi wa Rais hutoa rais?
Ingawa kwa asilimia 1,000 naunga mkono katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Si wanamuona Ibrahimu Traore anavyoungwa mkono na Wananchi wa Burkinafaso.Mkuu una uhakika gani jeshi litawapuuza kuelekea Oct 2025?
Vitisho tu vya CCM na vyombo vyao vya ulinzi kutishia watu kuandamana lakini katika mioyo ya watanzania chama pendwa ni CHADEMA Hilo halina ubishiUnaongelea umma upi?
Uliokacha maadamano kadhaa?
Uliomvunja moyo Mange Kimambi na maandamano ya kipindi kile?
DuuhHakuna uchaguzi huru lakini rais anapoona hakubaliki sana ni lazima awe na wasiwasi mkubwa. Na mbaya zaidi CCM ndiyo hawamtaki.
Nguvu ya umaaaaaaa! Hakuna kurudi nyuma. NO REFORM NO ELECTION, NO REFORM NO ELECTION AND NO REFORM NO ELECTION.Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.
Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"
Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao mbele wasibadili gear angani?
Je nani yuko nyuma yao?
Upande wa pili yaani CCM wana vyombo vyote vya dola wana haja gani baadhi yao kuwahofia Chadema?
Maana nikimwangalia Makamu mwenyekiti na Katibu wa Itikadi na Uenezi namna wanavyojibu hoja za Chadema ni kama vile wako katika hali ya kupanic, kwa nini wapanic wakati vyombo vya dola viko chini yao na upinzani hauwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano na Watanzania ni waoga si rahisi kuwaingizia barabarani kwa maandamano kwa asilimia kubwa?
Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Je Chadema awaogopi kwamba wasiposhiriki uchaguzi huu kuanzia mwakani watajikuta si chama kikuu cha upinzani tena?
Ruzuku watakuwa hawapati tena?
Je Chadema kama chama wamefanya tathimini vya kutosha faida za kutokushiriki na kushiriki?
Mimi ni Mtanzania nisiye na chama chochote.
Tusubiri hii operesheni ikamilike ndiyo tutoa tathmini maana ndiyo kwanza kunapambazuka,kuna mengi yatatokea hapa katikati.Je wananchi hao kwa kiasi gani unafikiri wataweza kuzuia uchaguzi kufanyika Oct 2025?