Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
Nguvu ya ummaWanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.
Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"
Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao?
Je nani yuko nyuma yao?
Upande wa pili yaani CCM wana vyombo vyote vya dola wana haja gani baadhi yao kuwahofia Chadema?
Maana nikimwangalia Makamu mwenyekiti na Katibu wa Itikadi na Uenezi namna wanavyojibu hoja za Chadema ni kama vile wako katika hali ya kupanic, kwa nini wapanic wakati vyombo vya dola viko chini yao na upinzani hauwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano na Watanzania ni waoga si rahisi kuwaingizia barabarani kwa maandamano kwa asilimia kubwa?
Je Chadema awaogopi kwamba wasiposhiriki uchaguzi huu kuanzia mwakani watajikuta si chama kikuu cha upinzani tena?
Ruzuku watakuwa hawapati tena?
Je Chadema kama chama wamefanya tathimini vya kutosha faida za kutokushiriki na kushiriki?
Mimi ni Mtanzania nisiye na chama chochote.
Umma huu wa Watanganyika hawa wa Nyerere?Nguvu ya umma
Wananchi wameupokea kwa mikono miwili, wamechoka kiporwa uchaguzi, kuuawa na kutekwa kwa wagombea wao.Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"
Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao mbele wasibadili gear angani?
Correction, watanganyika walikuwapo 1960s, to 2010s, walioko sasa ni wadanganyikaUmma huu wa Watanganyika hawa wa Nyerere?
Lakini ukiambia kati ya ccm na andazi utachagua nini?Mimi ni Mtanzania nisiye na chama chochote.
Umepokelewa kwa mikono miwili kwa kiasi gani?Wananchi wameupokea kwa mikono miwili, wamechoka kiporwa uchaguzi, kuuawa na kutekwa kwa wagombea wao.
Mimi naona hiki ndio kiko nyuma yao.
Kwa nini Mkuu Detective J kutuita wadanganyika? Je na ww ni miongoni mwao bila shaka?Correction, watanganyika walikuwapo 1960s, to 2010s, walioko sasa ni wadanganyika
Ile ya Mpox na Ebola ilikufa kibuduUmepokelewa kwa mikono miwili kwa kiasi gani?
Wananchi hawa wakiletewa propaganda ya Simba na Yanga kama hii ya majuzi wamejadili mpira zaidi ya wiki mbili, kila sehemu unakoenda ni mechi ya watani kuahirishwa kumbe propaganda ya serikali ili tu kuwatoa watu kwenye Reli?
Je nani yuko nyuma yao?
Umepokelewa kwa mikono miwili kwa kiasi gani?
Wananchi hawa wakiletewa propaganda ya Simba na Yanga kama hii ya majuzi wamejadili mpira zaidi ya wiki mbili, kila sehemu unakoenda ni mechi ya watani kuahirishwa kumbe propaganda ya serikali ili tu kuwatoa watu kwenye Reli?
Mkuu haikuwa kweli?Ile ya Mpox na Ebola ilikufa kibudu
Wananchi wapi?Wananchi
Biashara zinaendelea Wachina wa kariakoo hawatishwi na uvumi.Mkuu haikuwa kweli?
Vipi kiuchumi athari zake ni zipi kwa wafanyabiashara na watalii?
Not anymore, sipo kwenye kundi la wadanganyika kwa mda mrefu sana. Why nawaita wadanganyika?Kwa nini Mkuu Detective J kutuita wadanganyika? Je na ww ni miongoni mwao bila shaka?
Jibu ni moja tu, ni wananchi waliochoshwa na serikali ya CCM iliyojaa ghilba,hadaa,ulaghai,ufisadi na ubabe. Hii nyomi inayojitokeza kupokea elimu ya No Reform No Election ni ushahidi wa sababu hiyo.Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.
Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"
Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao mbele wasibadili gear angani?
Je nani yuko nyuma yao?
Upande wa pili yaani CCM wana vyombo vyote vya dola wana haja gani baadhi yao kuwahofia Chadema?
Maana nikimwangalia Makamu mwenyekiti na Katibu wa Itikadi na Uenezi namna wanavyojibu hoja za Chadema ni kama vile wako katika hali ya kupanic, kwa nini wapanic wakati vyombo vya dola viko chini yao na upinzani hauwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano na Watanzania ni waoga si rahisi kuwaingizia barabarani kwa maandamano kwa asilimia kubwa?
Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Je Chadema awaogopi kwamba wasiposhiriki uchaguzi huu kuanzia mwakani watajikuta si chama kikuu cha upinzani tena?
Ruzuku watakuwa hawapati tena?
Je Chadema kama chama wamefanya tathimini vya kutosha faida za kutokushiriki na kushiriki?
Mimi ni Mtanzania nisiye na chama chochote.
Kwani tangu miaka hiyo ccm kwa jinsi wanavyojua wao walifanya vya vikuu kuwa akina Tiielipi,siiiyuefu na akina chaumwa sasa bado tu ulikuwa hujayaona hayo,ulijiuliza kutoka wabunge 70+ hadi 1+covid 19.Tuweni wakweli Watanzania na ikiwa hivyo utakuwandio mwisho wa umaskini wa taifa la Tanzania.Wanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.
Wahenga walisema "kuuliza si ujinga"
Hivi msimamo wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wa No Reform No Election ni kitu gani kinawapa nguvu, ujasiri na morali ya kuendelea nao mbele wasibadili gear angani?
Je nani yuko nyuma yao?
Upande wa pili yaani CCM wana vyombo vyote vya dola wana haja gani baadhi yao kuwahofia Chadema?
Maana nikimwangalia Makamu mwenyekiti na Katibu wa Itikadi na Uenezi namna wanavyojibu hoja za Chadema ni kama vile wako katika hali ya kupanic, kwa nini wapanic wakati vyombo vya dola viko chini yao na upinzani hauwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano na Watanzania ni waoga si rahisi kuwaingizia barabarani kwa maandamano kwa asilimia kubwa?
Soma Pia: Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Je Chadema awaogopi kwamba wasiposhiriki uchaguzi huu kuanzia mwakani watajikuta si chama kikuu cha upinzani tena?
Ruzuku watakuwa hawapati tena?
Je Chadema kama chama wamefanya tathimini vya kutosha faida za kutokushiriki na kushiriki?
Mimi ni Mtanzania nisiye na chama chochote.
Chadema siyo chama ni Mori miyooni mwa watuWanajukwaa bila shaka ni wa zima wa afya njema.