Msimamo wa makundi Klabu bingwa Africa baada ya mechi za leo...Simba inaongoza kundi lake.

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Msimamo huo....
 

Attachments

  • 20190113_001314.jpg
    52.5 KB · Views: 157
  • 20190113_001314.jpg
    52.5 KB · Views: 120
Mapema sana mkuu, nimeushuhudia mchezo kati ya waegypt na wakongo,wakongo wamepigwa ila wapo Vzr sana...japo walikuwa pungufu baada ya red kadi dk 35 hivi,ila Alahly wamevizia tu
Refa alikuwa ameingiziwa muamala wa tigo pesa maana amewaminya sana AS Vita. Hasa red card na penati (ya kujirusha). Ila timu zote 2 ziko vizuri inabidi Simba wajiandae vizuri la sivyo hawatoboi.
 
Halafu kama mnataka kupata walau sare nje mabeki wenu hasa Wawa na Juurko wanatakiwa wabadilike. Uchezaji wao una attract mashambulizi toka kwa wapinzani wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…