Msimamo wa makundi Klabu bingwa Africa baada ya mechi za leo...Simba inaongoza kundi lake.

Mapema sana mkuu, nimeushuhudia mchezo kati ya waegypt na wakongo,wakongo wamepigwa ila wapo Vzr sana...japo walikuwa pungufu baada ya red kadi dk 35 hivi,ila Alahly wamevizia tu

Simba inabidi wakaze buti sana kwenye kundi hili...timu ambayo pengine ni dhaifu kwenye kundi hili ni hii ya Algeria...Halafu binafsi kama refa makini anaweza kuruhusu mabao yale mawili ya Simba nina maana ya goli la pili na la tatu...all in all Simba wajitahidi zaidi...kwangu timu za kuoopwa kwenye kundi hili ni Ahly ya Misri na Vita ya DRC...
 
Timu zote zipo kwenye kiwango kinachofanana tu.
El-Ahly walibebwa na mwamuzi tu lakini kiviwango wako sawa na Vita ya Kongo.
Hapo ni namna ya kutumia fulsa tu ndio timu inaweza kushinda.
Mechi ya Simba na JS Saoura ilikuwa nzuri na yenye ushindani kuliko ya Al- Ahaly na Vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndg kama Al hahly inacheza vile nyumbani , naamini simba waendelee kutengeneza mikakati na mbinu watafika mbali, jambo nzuri timu za Afrika zinategemea zaid uwanja wa nyumbani
Hao JS Saoura hata Mbao na Mashujaa wanajipigia bila tabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha dharau hao jamaa miaka miwili mfufulizo wameshika nafasi ya pili kule kwao. Us Algers ni cha mtoto kwa hawa jamaa
 
Simba inabidi wakaze buti sana kwenye kundi hili...timu ambayo pengine ni dhaifu kwenye kundi hili ni hii ya Algeria...Halafu binafsi kama refa makini anaweza kuruhusu mabao yale mawili ya Simba nina maana ya goli la pili na la tatu...all in all Simba wajitahidi zaidi...kwangu timu za kuoopwa kwenye kundi hili ni Ahly ya Misri na Vita ya DRC...
Labda la pili lakini la tatu lilikuwa safi kabisa.Mm ni Mpenzi wa Timu ya wananchi lakini naiombea simba ifike mbali na sisi Tanzania walau tupate nafasi mbili za ushiriki wa Champ league kama Congo Dr,Afrika ya Kusini,Misri,Tunisia nk.Timu ya wananchi ilishaweka mazingira mazuri siku za nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba inabidi wakaze buti sana kwenye kundi hili...timu ambayo pengine ni dhaifu kwenye kundi hili ni hii ya Algeria...Halafu binafsi kama refa makini anaweza kuruhusu mabao yale mawili ya Simba nina maana ya goli la pili na la tatu...all in all Simba wajitahidi zaidi...kwangu timu za kuoopwa kwenye kundi hili ni Ahly ya Misri na Vita ya DRC...
Yule refa makini sana yale yote ni magoli safi kabisa, kaangalie replay, may be TV ya chogo ndiyo utaona offside

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu zote zipo kwenye kiwango kinachofanana tu.
El-Ahly walibebwa na mwamuzi tu lakini kiviwango wako sawa na Vita ya Kongo.
Hapo ni namna ya kutumia fulsa tu ndio timu inaweza kushinda.
Mechi ya Simba na JS Saoura ilikuwa nzuri na yenye ushindani kuliko ya Al- Ahaly na Vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindi wa aly ahly kila mtu ana dauti nao

Ona hapa

View attachment 993214
IMG_20190113_121500_343.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Refa alikuwa ameingiziwa muamala wa tigo pesa maana amewaminya sana AS Vita. Hasa red card na penati (ya kujirusha). Ila timu zote 2 ziko vizuri inabidi Simba wajiandae vizuri la sivyo hawatoboi.
Wale as vita wamecheza pungufu dakika kama 60 lakini walikuwa kama wametimia
 
Back
Top Bottom