muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,539
- 3,551
Baadaye wanaweza wakabadilika mpaka tukashangaaWaalgeria nadhani kila mtu anaweza pata six points
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadaye wanaweza wakabadilika mpaka tukashangaaWaalgeria nadhani kila mtu anaweza pata six points
Kila stage mnabweka hivyohivyoUshindi mmoja tena wa nyumbani, mnapiga kelele subirini muone mtakavyonyolewa na watoto wa kihuni wa misri.
Cc. Manara
Al ahly ilikuwa ya kina Aboutrika siyo hii ya sasa.Al ahly anabebwa pia na historia
Hizo attachments ulizoweka sijaona ya group la Simba.Msimamo huo....
Rekodi zinaonyesha Soura hawafungwi kwao kirahisi kabsaaa!! Na Mara nyingi wanapokuwa ugenini hupata matokeo ya sare au kufungwaHuyo ndio usipime mkuu atawapiga hata wiki.
Red card ilikuwa ya mauzauza sana ila wale Ahly siyo Wa kawaida ndugu. Jamaa wana mpira wa kasi sana hasa wanapokuwa kwaoKwa mechi ya Jana ya Al ahly imeonesha ni wa kawaida sana. Red card imewasaidia kupata ushindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wagumu asee sijuiMapema sana mkuu, nimeushuhudia mchezo kati ya waegypt na wakongo,wakongo wamepigwa ila wapo Vzr sana...japo walikuwa pungufu baada ya red kadi dk 35 hivi,ila Alahly wamevizia tu
Red card ilikuwa ya mauzauza sana ila wale Ahly siyo Wa kawaida ndugu. Jamaa wana mpira wa kasi sana hasa wanapokuwa kwao
Kweli kabisaWaalgeria nadhani kila mtu anaweza pata six points
Mapema sana mkuu, nimeushuhudia mchezo kati ya waegypt na wakongo,wakongo wamepigwa ila wapo Vzr sana...japo walikuwa pungufu baada ya red kadi dk 35 hivi,ila Alahly wamevizia tu
Na mimi niliuangalia huo mtanange Supersport 9.Wa Congo wako vizuri si mchezo Simba ijipange vzrMapema sana mkuu, nimeushuhudia mchezo kati ya waegypt na wakongo,wakongo wamepigwa ila wapo Vzr sana...japo walikuwa pungufu baada ya red kadi dk 35 hivi,ila Alahly wamevizia tu
Acha dharau hao jamaa miaka miwili mfufulizo wameshika nafasi ya pili kule kwao. Us Algers ni cha mtoto kwa hawa jamaa
Labda la pili lakini la tatu lilikuwa safi kabisa.Mm ni Mpenzi wa Timu ya wananchi lakini naiombea simba ifike mbali na sisi Tanzania walau tupate nafasi mbili za ushiriki wa Champ league kama Congo Dr,Afrika ya Kusini,Misri,Tunisia nk.Timu ya wananchi ilishaweka mazingira mazuri siku za nyumaSimba inabidi wakaze buti sana kwenye kundi hili...timu ambayo pengine ni dhaifu kwenye kundi hili ni hii ya Algeria...Halafu binafsi kama refa makini anaweza kuruhusu mabao yale mawili ya Simba nina maana ya goli la pili na la tatu...all in all Simba wajitahidi zaidi...kwangu timu za kuoopwa kwenye kundi hili ni Ahly ya Misri na Vita ya DRC...
Ushindi mmoja tena wa nyumbani, mnapiga kelele subirini muone mtakavyonyolewa na watoto wa kihuni wa misri.
Cc. Manara
Yule refa makini sana yale yote ni magoli safi kabisa, kaangalie replay, may be TV ya chogo ndiyo utaona offsideSimba inabidi wakaze buti sana kwenye kundi hili...timu ambayo pengine ni dhaifu kwenye kundi hili ni hii ya Algeria...Halafu binafsi kama refa makini anaweza kuruhusu mabao yale mawili ya Simba nina maana ya goli la pili na la tatu...all in all Simba wajitahidi zaidi...kwangu timu za kuoopwa kwenye kundi hili ni Ahly ya Misri na Vita ya DRC...
Ushindi wa aly ahly kila mtu ana dauti naoTimu zote zipo kwenye kiwango kinachofanana tu.
El-Ahly walibebwa na mwamuzi tu lakini kiviwango wako sawa na Vita ya Kongo.
Hapo ni namna ya kutumia fulsa tu ndio timu inaweza kushinda.
Mechi ya Simba na JS Saoura ilikuwa nzuri na yenye ushindani kuliko ya Al- Ahaly na Vita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisaKwa mechi ya Jana ya Al ahly imeonesha ni wa kawaida sana. Red card imewasaidia kupata ushindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha waendelee kuwa wabishi tu baadaye wataelewaNa mimi niliuangalia huo mtanange Supersport 9.Wa Congo wako vizuri si mchezo Simba ijipange vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale as vita wamecheza pungufu dakika kama 60 lakini walikuwa kama wametimiaRefa alikuwa ameingiziwa muamala wa tigo pesa maana amewaminya sana AS Vita. Hasa red card na penati (ya kujirusha). Ila timu zote 2 ziko vizuri inabidi Simba wajiandae vizuri la sivyo hawatoboi.