Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo mkuu! Tunawaongoza, tunapambana tusipoteze home, kisha ugenini tunapaki basi angalau kongo na kwa hawa tuliowatungua.Mapema sana mkuu, nimeushuhudia mchezo kati ya waegypt na wakongo,wakongo wamepigwa ila wapo Vzr sana...japo walikuwa pungufu baada ya red kadi dk 35 hivi,ila Alahly wamevizia tu
Waalgeria nadhani kila mtu anaweza pata six pointsNdio hivyo mkuu! Tunawaongoza, tunapambana tusipoteze home, kisha ugenini tunapaki basi angalau kongo na kwa hawa tuliowatungua.
Ingawa sio wa kubeza saana! Wanaweza kumng'ang'ania Al ahly.Waalgeria nadhani kila mtu anaweza pata six points
Never,nimeangalia game ya am ahaly hata kwao wanakufa tuIngawa sio wa kubeza saana! Wanaweza kumng'ang'ania Al ahly.
Al ahly anabebwa pia na historiaNever,nimeangalia game ya am ahaly hata kwao wanakufa tu
Waalgeria nadhani kila mtu anaweza pata six points
Ushindi mmoja tena wa nyumbani, mnapiga kelele subirini muone mtakavyonyolewa na watoto wa kihuni wa misri.
Cc. Manara
Acha wivuUshindi mmoja tena wa nyumbani, mnapiga kelele subirini muone mtakavyonyolewa na watoto wa kihuni wa misri.
Cc. Manara
Hao JS Saoura hata Mbao na Mashujaa wanajipigia bila tabu.Acha UFARA ww, Kwan misri ndio nn? Ulianza kwa Js soura leo umegeuka JIBWA KOKO
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiteseke mkuu.Ushindi mmoja tena wa nyumbani, mnapiga kelele subirini muone mtakavyonyolewa na watoto wa kihuni wa misri.
Cc. Manara
Refa alikuwa ameingiziwa muamala wa tigo pesa maana amewaminya sana AS Vita. Hasa red card na penati (ya kujirusha). Ila timu zote 2 ziko vizuri inabidi Simba wajiandae vizuri la sivyo hawatoboi.Mapema sana mkuu, nimeushuhudia mchezo kati ya waegypt na wakongo,wakongo wamepigwa ila wapo Vzr sana...japo walikuwa pungufu baada ya red kadi dk 35 hivi,ila Alahly wamevizia tu
Huyo ndio usipime mkuu atawapiga hata wiki.Ingawa sio wa kubeza saana! Wanaweza kumng'ang'ania Al ahly.
Jurku si wakucheza kabisaaa. Hata Jana kacheza sababu Nyoni ni majeruhi.Halafu kama mnataka kupata walau sare nje mabeki wenu hasa Wawa na Juurko wanatakiwa wabadilike. Uchezaji wao una attract mashambulizi toka kwa wapinzani wao.